financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,194
- 43,576
😀😀😀, siku darling akisafiri miezi utaweza kuvumilia kweli wewe,inaonesha una kiwango kidogo cha uvumilivu.Siwezi na hata sitaki kuweza[emoji23][emoji23]
😀😀😀, siku darling akisafiri miezi utaweza kuvumilia kweli wewe,inaonesha una kiwango kidogo cha uvumilivu.Siwezi na hata sitaki kuweza[emoji23][emoji23]
Ku sex ni biological right kwa kla kiumbe nikilia ni sawa 😀
Balaa mzee wangu kuna siku hii issue bungeni walijadili lakini mwisho wasiku sheria haikufanikiwa kupita kuwa ndugu zetu nao wapate unyumba na wake zao hata kama bado wapo jela.
kasafiri anawiki mbili nilipo nina arosto ya kufa mtu,siku akitua tu hatusubiri ucku nimwage oilNimeamua kujizuia na kwasasa natimiza miezi kadhaa ila ni kama niko ICU.
Aisee! Yataka moyo mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kinaendelea vizuri. Siwezi kurudisha kadi na vikao nahudhuria.Vp lkn chama chetu siunakitendea haki ipasavyo mkuu au ndo usharudisha kadi
Sent using Jamii Forums mobile app
Miezi atakuwa anaenda wapi mama?[emoji3][emoji3][emoji3], siku darling akisafiri miezi utaweza kuvumilia kweli wewe,inaonesha una kiwango kidogo cha uvumilivu.
Falaa sanaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tangu majanga mbalimbali kabla hata ya hili la corona sijafanya sex
Namaanisha toka Richmond, Escrow hata zile mvua kubwa za elnino...[emoji40][emoji40]
Chama kinaendelea vizuri. Siwezi kurudisha kadi na vikao nahudhuria.
Tunajilinda kwanza na hili balaa la Corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tokea hii corona ianze una muda gani hujafanya sex? Mimi nina week ya 4 inaenda kuwa ya 5. Hii corona na iishe sasa. Nawaza siku ikisha corona sijui itakuwaje. I miss ma babe, i miss having sex with ma babe [emoji24][emoji24]
View attachment 1419421
Labda kaenda likizo kwao🤷♂️ na quarantine ikamkutia huko huko jeMiezi atakuwa anaenda wapi mama?
Miez mi 3Tokea hii corona ianze una muda gani hujafanya sex? Mimi nina week ya 4 inaenda kuwa ya 5. Hii corona na iishe sasa. Nawaza siku ikisha corona sijui itakuwaje. I miss ma babe, i miss having sex with ma babe 😭😭
View attachment 1419421
Likizo kwao anaendaje FS? Kwao anaenda kwa ruhusa toka kwangu, hardly one week na sio zaidi. Kwa hali ilivyo sasa hivi siwezi kutengana nae for months, labda ajira zetu ndio zinaweza kututenganisha hivyo!!Labda kaenda likizo kwao[emoji2369] na quarantine ikamkutia huko huko je
Utajua kama kuna kutu au la siku rungu linaingia....!Miaka mingi iliyopita, na hamna kutu wala vumbi🤐