Hujafanya sex una muda gani?

Hujafanya sex una muda gani?

Sifa za kijinga na uongo wa kipumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kila binadamu ana uwezo wake wa kufikiri na kung'amua mambo. Kwa upande wako unaweza ukifikiria hivyo kama ulivyonena na kwangu nikaona sio mbaya nikisema what I have gone through on Easter as long as sikujui wala hunijui so nothing bothers me buddy.
 
Covid 19 anatupiwa lawama Sana kwaiyoo corona inakula mboo au,??

Oa uolewa fanya mapenzi achana na ngono.
 
Back
Top Bottom