Haya ndo madhara ya kukurupuka kwa baadhi ya viongozi kama Magufuli,,,, wanaJF mnakumbuka wale samaki wa Magufuli?? Ile ishu imeishia wapi tena!!?? huyu jamaa amekuwa ni janga la kitaifa,, mkuu wa nchi jaribu kuwa makini na hawa vijana wako wa namna hii!!
Magufuli is a hero and truly Tanzanian.Keep it up.Ni ajabu kuruhusu watu kujadiliana kuvunja sheria.Magufuli hajatunga sheria yoyote bali aliamua kuisimamia kwa manufaa ya umma.Uamuzi aliotoa PM haukuwa kwa manufaa ya umma bali kuwapendelea wenye malori ambao tunajua ni viongozi au washirika wa viongozi serikalini.Mimi natangaza kuwa naunga mkono Team Magufuli-2015 kama ataingia kwenye mbio za urais.Yeye tu mpaka sasa ndie anaonekana kuwa na uchungu na nchi yetu tukufu.
Mkuu Magufuli ni loser? sidhani kama uko sahihi, loser kwa shinikizo la wahujumu uchumi wachache wanaotajirika kwa migongo ya maskini wengi wavuja jasho? eti tu kwasababu wanaofanya maamuzi , watunga sheria na wasimamizi wa sheria hizo ni sehemu ya wamiliki wa maroli hayo ambao kwa umoja wao wanahujumu uchumi wa nchi? eti wanathubutu kutamka watampeleka mahakamani waziri kwa kuisababishia hasara nchi?Why this loser is still in the cabinet? :rant:
Mkuu Magufuli ni loser? sidhani kama uko sahihi, loser kwa shinikizo la wahujumu uchumi wachache wanaotajirika kwa migongo ya maskini wengi wavuja jasho? eti tu kwasababu wanaofanya maamuzi , watunga sheria na wasimamizi wa sheria hizo ni sehemu ya wamiliki wa maroli hayo ambao kwa umoja wao wanahujumu uchumi wa nchi? eti wanathubutu kutamka watampeleka mahakamani waziri kwa kuisababishia hasara nchi?
Magufuli is a hero and truly Tanzanian.Keep it up.Ni ajabu kuruhusu watu kujadiliana kuvunja sheria.Magufuli hajatunga sheria yoyote bali aliamua kuisimamia kwa manufaa ya umma.Uamuzi aliotoa PM haukuwa kwa manufaa ya umma bali kuwapendelea wenye malori ambao tunajua ni viongozi au washirika wa viongozi serikalini.Mimi natangaza kuwa naunga mkono Team Magufuli-2015 kama ataingia kwenye mbio za urais.Yeye tu mpaka sasa ndie anaonekana kuwa na uchungu na nchi yetu tukufu.
Kakwapua nyumba za Serikali kwa kushirikiaka na fisadi Mkapa hasara kwa Serikali zaidi ya trillion, kakurupuka na kuvunja kituo cha petrol mwanza hasara kwa Serikali bilioni 4, kakurupuka na kuhifadhi tani 296 za samaki ambazo angweza kuamua kuhifadhi nusu tani tu na kisha kupiga picha tani zote 296 kama ushahidi wa kesi hasara kwa Serikali bilioni tatu, mgomo wa juzi hasara kwa Serikali bilioni moja na nusu. Huu ni ushahidi wa kutosha kabisa wa kuonyesha huyu mtu utendaji wake wa kukurupuka umekuwa ni mzigo mkubwa kwa Serikali. Nauliza tena baadhi hapa wanamuita Magufuli ni jembe, je kuna ushahidi upi wa utendaji wa Magufuli tangu awe Waziri hadii hii leo wa kuonyesha kama anastahili kuitwa jembe!? Hilo shamba, jembe alilima lini na wapi!?
Magufuli hakustahili baraza jipya | Gazeti la MwanaHalisi
Magufuli ni fisadi na mbabe! Mimi huwa nina washangaa wanao mtetea wanapata wapi huo ujasiri? Pia ameliababishia taifa hasara kwa kuvunja mikataba ya wakandarasi kibabe na kinyume cha utaratibu na serikali ikalazimika kulipa fidia ya mabilioni! Kama kweli anasimamia haki na sheria mbona hakumlazimisha mkandarasi aliyetengeneza barabara mbovu ya jimboni kwake ( BWANGA - BUZIRAYOMBO) ambayo iliharibika kabla ya kukabidhiwa lakini alimruhusu mkandarasi akaondoka? Alimhonga shilingi ngapi?
Hujui unalozungumza unabwabwaja bila kuangalia negative impact ya huyu jamaa ndani ya Serikali kuanzia uuzwaji wa nyumba za Serikali kulikofanywa na fisadi Mkapa akishirikiana na fisadi Magufuli ambao umesababisha hasara ya shilingi bilioni 300 and counting, hasara ya uvunjwaji nyumba ambapo Serikali ilibidi ilipe fidia na pia hasara kubwa katika kuwahifadhi samaki waliokamatwa.
Haya ndo madhara ya kukurupuka kwa baadhi ya viongozi kama Magufuli,,,, wanaJF mnakumbuka wale samaki wa Magufuli?? Ile ishu imeishia wapi tena!!?? huyu jamaa amekuwa ni janga la kitaifa,, mkuu wa nchi jaribu kuwa makini na hawa vijana wako wa namna hii!!
Why this loser is still in the cabinet? :rant:
Ashtakiwe kama muhujumu uchumi.
Suala la kuuziana nyumba hata mimi siungi mkono.Je yeye ndie aliebuni mpango huo au ni mpango wa wote naye kuwajibika collectively?.Yeye si malaika pia ila angalau ni bora zaidi kati ya waliopo.Unaandika haya ukiwa hujalewa kweli? Nadhani humuelewi Magufuli vizuri! Huyo jamaa ni bonge la msanii na fisadi tu kama wenzake ndani ya ccm! Angekuwa na uchungu na nchi hii asingeuza nyumba za serikali!
Hata kama siyo milele lakini Serikali itakaa chini na chama cha wasafirishaji kufikia muafaka wa nini kifanyike, na kama chama cha wasafirishaji kikishikilia msimamo wake basi Serikali inaweza kabisa kuachana na hayo maamuzi ya fisadi Magufuli. Watu hamjui kwamba kuongezewa kodi kwa wasafirishaji hakuwaumizi wao tu bali kunawaumiza Watanzania wote maana watapandisha gharama zao kwa wasafiri, kwa kusafirisha bidhaa na hivyo kuongeza mfumuko wa bei nchini.
Mkuu huyu ni mhujumu uchumi bila wasiwasi wowote. Hasara kwa Serikali kwa kukwapua nyumba zake Trillioni, hasara ya samaki bilioni 3, hasara ya kuvunja kituo cha kuuza petrol kule Mwanza bilioni 4, hasara ya kukurupuka juzi bilioni 1 na nusu nado kua hasara nyingine chungu nzima zilizosababishwa na huyu fisadi.
Mawaziri wote utendaji wao ni mbovu na unaliingizia Taifa hasara kubwa sana na ndio maana miaka michache iliyopita Wabunge wa CCM walimshinikiza Kikwete awafukuze baadhi ya Mawaziri, kwa maoni yangu alitakiwa awafukuze mawaziri wote kama alivyofanya Rais wa Malawi Joyce Banda, lakini Kikwete hana ubavu huo.
Huyu kinachomponza ni kukurupuka na hivyo maamuzi yake mengi yanawagusa Watanzania kirahisi mno na ndio maana wakubwa wake wa kazi kwa mara ya pili sasa wamebatilisha maamuzi yake. Unasema tuboreshe reli, kwa hii Serikali sahau hilo maana ipo ipo tu reli hiyo haitaboreshwa kesho wala kesho kutwa.
Magufuli asingekurupuka kama ilivyo style ya maamuzi yake mengi angekaa nao chini kufanya mazungumzo ya kina ili kufikia makubaliano ambayo pande zote mbili zitaridhika nayo, lakini juhudi zao za kukaa chini na fisadi magufuli zikagonga ukuta na wakawa hawana jinsi bali kuamua kama walivyoamua na baada ya Serikali kuona athari kubwa ya mgomo wao maamuzi ya fisadi Magufuli yakabatilishwa.
Serikali iachane na tabia ya kutafuta vyanzo vya mapato kirahisi rahisi kwa kuendelea kuwakamua Watanzania. Wale Barick tangu waingie nchini mwaka 99 mpaka 2011 mapato yao yalikuwa ni $12 billion, kama wangekuwa wanatozwa kodi ya 30% hilo ni sawa na pato la $4 billion kwa taifa tangu 1999 mpaka 2011. Na hiyo ni kamouni moja tu tukiweka kamouni zote za uchimbaji dhahabu, almasi, Tanzanite, gas n.k. kwa mwaka Serikali ingeoata mapato ya at least $1 billion na hivyo kuachana na tabia ya kuwakamua Watanzania kila kukicha. Sasa hivi kuna kesi mahakamani kuhusiana na kodi ya simu, kodi za vinywaji ndio zinaongezeka kila mwaka. Umefika wakati Serikali ikaangalia uwezekano wa kuwapunguzia kodi Watanzania na hivyo kuanza kuwatoza kodi wanaovuna utajiri wa Tanzania ambao hawalipi kodi hata senti moja. Mwaka jana Muhongo alitangaza baadhi ya makampuni ya uchimbaji madini yataanza kutozwa kodi ya 30%, wakatishia kufunga virago kodi hiyo ikafa kifo cha kimya kimya. Haya makosa ya fisadi Magufuli ya kukurupuka kila mara katika maamuzi yake na kuliingizia Taifa hasara kubwa lini atajifunza na kuachana nayo!?
Hivihao wasfirishaji wangetii amri hasara hiyo ingetokea? kwa nimni hujaona kuwakutotii sharia ni uhujumu wa uchumi as reflected by the figures of the economicdamages. Tusifungwe na mtazamo wa wahujumu kwa vile tu Magufuli alikosea kwakutoa short notice ya implementation ya sheria hiyo.[/QUOTE][/FONT][/COLOR]
Hasara ya awali kabisa tuliyoambiwa ni Tsh 1.5bn/-, ambazo kama Taifa si lolote,kwani hata kilometa2 za asphalt concrete(lami)hazijengi!