Huge Economic loss caused by Magufuli

Huge Economic loss caused by Magufuli

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,329
Minister: Country suffered economic loss

By Queenter Mawinda

12th October 2013

headline_bullet.jpg
First largest cargo ship docks at Dar port



meli-oct12-2013(1).jpg

A 250-meter ship christened Maesk Line docks at Dar es Salaam Port yesterday for the first time � aimed at boosting the port's capacity � was received by Dr Harrison Mwakyembe.

The country has suffered a Sh1.5 billion loss as a result of a strike staged for five days by truck owners, the government has admitted.

Speaking to reporters yesterday at Dar es Salaam Port, the Minister for Transport, Dr Harisson Mwakyembe said the strike has shaken the country’s economy.

The minister’s remarks came only a day after truck owners began hauling cargo to the landlocked countries. The roads to and from the port -- Nelson and Morogoro -- were congested with a huge number of cargo trucks from 10 am.

Dr Mwakyembe also asked the Tanzania Revenue Authority (TRA) to work round the clock to ensure containers and other cargo at the port were processed in time for transportation.

According to data from the Tanzania Trucks Owners Association (Tatoa), on average, between 100,000 and 150,000 tons of goods are transported daily within and outside Dar es Salaam.

The minister yesterday applauded the Tanzania Breweries Company Limited (TBL) for what he called “a job well done” for its efforts to reduce the congested cargo at the port.

Truck operators had staged a go-slow since Monday protesting Works minister John Magufuli’s directive that truck crews be penalised for weights above five per cent of allowable axle limits, contrary to the Road Traffic (Maximum Weight of Trucks) Regulations of 2006.

Truck owners said that Dr Magufuli scrapped a clause off the regulations without consulting transporters and contrary to proper procedures. They urged the Attorney-General to give a correct interpretation of the regulations.

Following the complaints from the truck owners, Prime Minister Mizengo Pinda on Thursday intervened by announcing a one-month grace period during which the truck owners would be allowed to use the previous system.

The premier advised the Ministry of Works through the Tanzania National Roads Agency (Tanroads) to come up with a better system to weigh buses and trucks from Dar es Salaam to upcountry destinations to reduce queuing at the Kibaha weighbridge.

“It is not necessary for all vehicles to pass at the same weighbridge, some can weigh at Kibaha and others at Mikese in Morogoro,” the premier was quoted as suggesting.

Tatoa yesterday issued a press release telling the public that it was not its members’ intention to cause unnecessary inconvenience.

The transport sector plays a key role in the growth of the Tanzanian economy; it facilitates domestic and international trade, contributes to national integration, and provides access to jobs, health, education and other essential facilities.

The effectiveness, appropriateness and adequacy of the Tanzania transport system all contribute a great deal to the successful implementation of socioeconomic activities, the lowering of domestic production costs through timely delivery, the enhancement of the economies of scale in the production process and the creation of economic opportunities.

Meanwhile, a cargo ship – the first of its kind and possibly the largest -- docked in the morning yesterday at Dar es Salaam port, implying that the harbour could accommodate large cargo vessels.

According to Dr Mwakyembe, the port ‘s entrance channel could now handle Panama-size vessels.

Dr Mwakyembe said the ship belongs to Maersk Shipping Company from Denmark, which is 250 metres long and 38 metres wide. It has the capacity to carry 4500 containers at a time. He said the government had sent a special team to Lagos to analyze and assess the capacity of the ship and ascertain whether it could dock at the Dar es Salaam port … and their verdict turned out positive.

He said it was the largest vessel to have docked at the port; previous large ships ranged from 220 to 234 metres in length, with capacity to carry 3000 to 2800 containers only.

He said the port puts the upper limit of cargo ship sizes at 234 metres long, but said reforms had been made to meet global market demands for increased operations at the port.

He said through this ship customer good would be cleared in time.

However, he urged financial institutions to introduce Mobile Bank services in order to modernize its customer services and simplify customer access to services.

He said the system would also cut the cost of doing business in the country, serving clients better and improving the overall trade processes.

SOURCE: THE GUARDIAN




 
siku Tanzania tukija kujikomboa kutokakwenye huu ukoloni wa wauza mafuta, wamiliki wa malori na wengine nitashukuru Mungu. nafikiri serikari yetu sasa ihakikishe inaboresha reli ya kati na tazara ili nchi iwe huru. tutaburutwa hadi lini?
 
Why this loser is still in the cabinet? :rant:
 
Hujui unalozungumza unabwabwaja bila kuangalia negative impact ya huyu jamaa ndani ya Serikali kuanzia uuzwaji wa nyumba za Serikali kulikofanywa na fisadi Mkapa akishirikiana na fisadi Magufuli ambao umesababisha hasara ya shilingi bilioni 300 and counting, hasara ya uvunjwaji nyumba ambapo Serikali ilibidi ilipe fidia na pia hasara kubwa katika kuwahifadhi samaki waliokamatwa.

if i was magufuri, i would have done the same, nampongeza kwa alichofanya. hii nchi si kilabu cha pombe kwamba watu wanaweza kufanya chochote kama vile hakuna uongozi na mamlaka.
 
Haya ndo madhara ya kukurupuka kwa baadhi ya viongozi kama Magufuli,,,, wanaJF mnakumbuka wale samaki wa Magufuli?? Ile ishu imeishia wapi tena!!?? huyu jamaa amekuwa ni janga la kitaifa,, mkuu wa nchi jaribu kuwa makini na hawa vijana wako wa namna hii!!
 
Maybe i am too naive on Tanzanian politics but i keep asking myself why CCM cadres are not attacking Magufuli vigorously as opposed to the Opposition party cadres & followers?We have to be very careful with this issue.
 
Hujui unalozungumza unabwabwaja bila kuangalia negative impact ya huyu jamaa ndani ya Serikali kuanzia uuzwaji wa nyumba za Serikali kulikofanywa na fisadi Mkapa akishirikiana na fisadi Magufuli ambao umesababisha hasara ya shilingi bilioni 300 and counting, hasara ya uvunjwaji nyumba ambapo Serikali ilibidi ilipe fidia na pia hasara kubwa katika kuwahifadhi samaki waliokamatwa.

sijafurahi unaposema nabwabwaja, hii ni lugha ya wahuni, si lugha ya watu wazima wenye busara. sijui umri wako. sisi wengine hatujazoea kutukanwa. kama ungekuwa na busara ungefafanua zaidi nielewe pale ambapo unafikiri sijaelewa bila kutamka kuwa nabwabwaja. this is a discussion forum. hata hivyo, nilijua kuwa hapa tunajadili effects za mgomo wa malori, si hayo mengine unayosema magufuli amefanya. huko mimi siko, sikujua kuwa suala limeletwa hapa kama shambulizi dhidi ya mtu, pengine una ugomvi naye who knows; hiyo tu kuongea kama mhuni uliponijibu unaonyesha kuwa haujafikia kiwango cha watu wazima kuweza kujadili hoja, hivyo hata hii topic unaipunguza thamani kwa hadhi ya mtu aliyeileta. samahani, kwaheri.
 
Bad news for Magufuli who emerged himself as material for presidency

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
siku Tanzania tukija kujikomboa kutokakwenye huu ukoloni wa wauza mafuta, wamiliki wa malori na wengine nitashukuru Mungu. nafikiri serikari yetu sasa ihakikishe inaboresha reli ya kati na tazara ili nchi iwe huru. tutaburutwa hadi lini?

Siku reli ya Mombasa - Kigali kupitia Uganda itakapokamilika nadhani ndiyo itakuwa mwisho wa bandari ya. Dar. Yote haya ni kwasababu ya urasimu na u much know wa viongozi wenye misifa kama Magufuli.

Tanzania tunaua vitega uchumi kwa mikono yetu wenyewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Unapoandika bila kuwa na facts zozote za utetezi dhidi ya maamuzi ya Magufuli ni kubwabwaja. Huyu fisadi Magufuli alistahili kufukuzwa kazi miaka mingi iliyopita kutokana na utendaji wake mbovu ambao mara nyingi umeliingizia Taifa hasara kubwa sana.

sijafurahi unaposema nabwabwaja, hii ni lugha ya wahuni, si lugha ya watu wazima wenye busara. sijui umri wako. sisi wengine hatujazoea kutukanwa. kama ungekuwa na busara ungefafanua zaidi nielewe pale ambapo unafikiri sijaelewa bila kutamka kuwa nabwabwaja. this is a discussion forum. hata hivyo, nilijua kuwa hapa tunajadili effects za mgomo wa malori, si hayo mengine unayosema magufuli amefanya. huko mimi siko, sikujua kuwa suala limeletwa hapa kama shambulizi dhidi ya mtu, pengine una ugomvi naye who knows; hiyo tu kuongea kama mhuni uliponijibu unaonyesha kuwa haujafikia kiwango cha watu wazima kuweza kujadili hoja, hivyo hata hii topic unaipunguza thamani kwa hadhi ya mtu aliyeileta. samahani, kwaheri.
 
siku Tanzania tukija kujikomboa kutokakwenye huu ukoloni wa wauza mafuta, wamiliki wa malori na wengine nitashukuru Mungu. nafikiri serikari yetu sasa ihakikishe inaboresha reli ya kati na tazara ili nchi iwe huru. tutaburutwa hadi lini?

Hata reli ijengwe vipi.. Road transportation ina huge impact kwenye ukuaji wa uchumi

Magufuli anakurupuka tu amesahau kwamba port of dar es salaam is among busiest port in africa na ina foleni za meli kwa ajili ya kupakuliwa kila siku na malori yanafanya kazi kubwa sana kuhakikisha logistics zote za port zinafanyika..

Sasa malori yamegoma wiki tu, meli kiabao zipo kwenye foleni hazijashushwa mizigo on time as hakuna pa kuweka..

Na huu mgomo ungeendelea wiki 2 tu nchi za zambia, malawi, congo,burundi etc zinazotegemea port of dar es salaam zingeanza kelele kwa nini mizigo yao haitoki hapo ndipo Tanzania ingeisoma namba..

Tatizo wanawekwa viongozi kisiasa hawajui hata. Impact ya road transportation in international trade..

Logistics and suply chain inahitaji utaalamu wa hali ya juu kwenye maamuzi yake sio kwa kukurupuka tu..
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hujui unalozungumza unabwabwaja bila kuangalia negative impact ya huyu jamaa ndani ya Serikali kuanzia uuzwaji wa nyumba za Serikali kulikofanywa na fisadi Mkapa akishirikiana na fisadi Magufuli ambao umesababisha hasara ya shilingi bilioni 300 and counting, hasara ya uvunjwaji nyumba ambapo Serikali ilibidi ilipe fidia na pia hasara kubwa katika kuwahifadhi samaki waliokamatwa.

Huyo bwana aliagiza kituo cha mafuta kivunjwe barabara ya Makongoro Mwanza bila kufuata sheria na kibabe kama kawaida yake. Kilichotokea ni serikali kushindwa mahakamani ni kulipishwa shilingi kama Bil 4. Sasa serikali itaendelea kuingia hasara kwa sababu za mtu mmoja anayependa sifa za ubabe? Hivi kwa nini hawajibishwi pale anapotoa maamuzi binafsi yenye hasara?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Unapoandika bila kuwa na facts zozote za utetezi dhidi ya maamuzi ya Magufuli ni kubwabwaja. Huyu fisadi Magufuli alistahili kufukuzwa kazi miaka mingi iliyopita kutokana na utendaji wake mbovu ambao mara nyingi umeliingizia Taifa hasara kubwa sana.
ok, thanks, bye.
 
Magufuli hakustahili baraza jipya


picture-73.jpg

Na Nyaronyo Kicheere - Imechapwa 09 May 2012

Waraka wa Wiki


magufuli_293.jpg



MIONGONI mwa mawaziri machachari walioteka hata nyoyo za wananchi ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Pombe Magufuli.
Waziri Magufuli ni mtu anayejifunza kwa haraka kazi na mazingira ya kila wizara anayopangiwa. Hii ndiyo sababu amekuwa bingwa wa kukariri vituo vya daladala, treni, viwanja vya ndege, na hata mifugo na samaki katika wizara alizowahi kusimamia.

Kukariri barabara za lami na za changarawe, zilijengwa lini na nani na kwa gharama gani ndipo kumempa sifa na umashuhuri, lakini yanayofanyika katika wizara yake yanatisha.
Hata hivyo, rais makini, anayefuatilia utendaji kazi wa mawaziri katika kila wizara, angemwajibisha siku nyingi Dk. Magufuli kwa kushindwa kuzuia wizi, ubadhirifu au kutoa maagizo yaliyolisababishia taifa hasara kubwa.

Katika baraza hilo jipya ambalo aliyeteua anatuaminisha kwamba ni zuri kuliko lile la akina William Ngeleja, Omar Nundu, Mustapha Mkullo, Haji Mponda, Cyril Chami, Ezekiel Maige itabidi tujiulize kwa kigezo gani?
Kama ni ubadhirifu, wizi na udanganyifu Wizara ya Ujenzi ni nambari moja. Hii ndiyo wizara iliyonunua ile meli au boti maarufu pale Magogoni iitwayo MV Magendo ingawaje ubavuni imeandikwa RESCUE, yaani UOKOZI.

Boti hii ilinunuliwa enzi zile Magufuli akiwa Waziri wa Ujenzi chini serikali ya awamu ya tatu iliyoongozwa na Rais Benjamin Mkapa. Hadi leo boti ile iliyonunuliwa kwa fedha za kigeni haijafanya kazi.
Ilipofika kwenye fukwe za Tanganyika boti hiyo ikawa inatumika kuchota na kufyonza mafuta kwenye meli na boti zingine bandarini na kuyauza kwa wavuvi, ndiyo maana ikaitwa MV Magendo.

Baada ya muda kidogo boti hiyo ikapwelezwa kwenye mchanga ambako hadi leo haifanyi kazi ya kuokoa kama tulivyotangaziwa siku ya uzinduzi kwenye kivuko cha kuelekea Kigamboni.
Bahati mbaya si wafanyakazi wa wakala wa vivuko au serikali wanaohoji aliyehusika kuagiza boti mbovu isiyofanya kazi wala kudai wahusika waitengeneze boti hiyo ili iweze kuwadumia wananchi.

Si hivyo tu, hakuna hata mfanyakazi mmoja kuanzia watendaji serikalini hadi wakala wa vivuko aliyepewa adhabu. Hata Waziri Magufuli hakuwajibishwa kwa hilo na sasa yumo kwenye baraza jipya.
Ubadhirifu mwingine uliofumbiwa macho katika wizara hiyo ni juu ya uagizaji, ununuzi na ufungaji mitambo ya kukatia tiketi kwenye kivuko cha kigamboni ambayo haikuwahi kufanya kazi tangu inunuliwe miaka yapata sita au saba iliyopita.

Sisi tunaokaa Kigamboni tunakumbuka vizuri sana jinsi serikali ilivyotutangazia kuwa wafanyakazi Kivukoni ni wezi sana na kwamba wanaiba mapato hivyo ikasema imekuja na mbinu mpya ya kukomesha wizi huo wa mapato – ikanunua wa mitambo ya kukatia tiketi.
Mitambo iliagizwa kwa pesa za kigeni, ikafungwa pale Kivukoni upande wa Magogoni na kusababisha milango miwili ya wapita kwa miguu kufungwa kwa miaka yote sita sasa.
Mitambo haitumiki, haitengenezwi na wala haiondolewi licha ya kusababisha kero ya msongamano kwa wasafiri kulazimika kupita mlango mmoja uliobaki.

Japokuwa hakuna ushahidi wa Magufuli kuhusika moja kwa maoja katika ununuzi wa boti mbovu na mitambo chakavu ya kukatia tiketi, alipaswa kuwashtaki wahusika au yeye mwenyewe kuwajibishwa kutokana na makosa ya waliochini yake. Magufuli hakuwajibishwa.
Lakini hakuna atakayebisha Magufuli alivyohusika kupigia debe uuzwaji wa nyumba za serikali bila kujali gharama ya maeneo nyumba hizo zilipokuwa zimejengwa.
Mbaya zaidi baadhi ya watu waliouziwa nyumba hizo hawakustahili kwani hawakuwa watumishi wa serikali. Kwa nini Magufuli hakuwajibishwa?

Wauzaji nyumba walitoa kigezo kwamba anayestahili kuuziwa nyumba hizo lazima awe mfanyakazi tu wa serikali ya muungano. Kigezo hicho hakikuzingatiwa.
Hii si mara ya kwanza habari hizi kuandikwa. Wakati zilipoandikwa magazetini yapata miaka minne iliyopita si Magufuli aliyejali wala mamlaka iliyomteua. Mpaka leo hajawajibishwa.


Dk. Magufuli pia aliagiza kuvunjwa kituo cha mafuta jijini Mwanza na kuliingiza taifa katika mgogoro mkubwa ambao uliishia mahakamani na serikali ikatakiwa kulipa mamilioni ya shilingi. Magaufuli hakuwajibishwa.
Kituo cha mafuta kimejengwa ndani ya mipaka ya jiji la Mwanza kwa vibali vya uongozi wa jiji. Lakini badala ya Magufuli kufuata taratibu za kisheria za kuchukua eneo la mtu binafsi alitumia mabavu na jazba huku akidai anatekeleza sheria.

Dk. Magufuli pia alilazimisha kuvunjwa nyumba katika barabara ya Morogoro pale Ubungo na Kimara mwaka 1997 na kuliingiza taifa katika mgogoro na raia wake na kuisababishia serikali hasara ya Sh. 65 milioni. Magufuli hakuwajibishwa.
Kwa bahati nzuri kwa upande wa serikali wakazi wa Ubungo - Kimara walikuwa mbumbumbu hawakwenda mahakamani kudai fidia ya mamilioni ya shilingi baada ya kuelewa vibaya hukumu ya maombi yaliyowasilishwa na wakili wao Profesa Mgongo Fimbo ndiyo maana hawakwenda mahakamani kudai.

Mmoja wa raia hao ambaye alilielewa vizuri shauri hilo Bw. Ebeneza Massawe, alikwenda mahakamani na kushinda kesi. Alilipwa na serikali Sh. 65 milioni.
Je, wote waliovunjiwa nyumba zao Ubungo na Kimara wapatao zaidi ya 350 wangefika mahakamani kudai fidia, serikali ingelipa kiasi gani?

Ikiwa mawaziri sita waliotemwa, Rais Jakaya Kikwete amesema ni uwajibikaji wa kisiasa, kwa rekodi hii ya usimamizi wa Dk. Magufuli alipaswa kuwajibishwa kwa kuondolewa kwenye baraza la mawaziri mara moja kwa sababu hatufai.
 
Unapoandika bila kuwa na facts zozote za utetezi dhidi ya maamuzi ya Magufuli ni kubwabwaja. Huyu fisadi Magufuli alistahili kufukuzwa kazi miaka mingi iliyopita kutokana na utendaji wake mbovu ambao mara nyingi umeliingizia Taifa hasara kubwa sana.

I hope you know what you are talking about otherwise.......only god knows!!
 
Wakati mwingine ni vigumu kuwaelewa watanzania. Leo tunapinga uvunjifu wa sheria na ulegelege aka udhaifu wa serekali iliyo madarakani anajitokeza mtu anasimamia sheria zilizopo, the same people tunakuwa wa kwanza kumshutumu.. kifupi hatueleweki tunataka nini. Ningekuwa magufuli ningekaa pembeni niwaachie nchi yao waendelee kuendesha mambo kisiasa.
 
If you've something different, please don't hesitate to share but remember to include concrete facts.

I hope you know what you are talking about otherwise.......only god knows!!
 
Back
Top Bottom