Umeshawahi kupanda basi kaka? Kwa nini kila mizani abiria tunaambiwa sogea mbele. Inawezekana kweli kuna makosa kwenye kutafsiri 5% tolerance, lakini mimi siwezi kutetea hawa waharibifu wa barabara!
Hujui unalozungumza unabwabwaja bila kuangalia negative impact ya huyu jamaa ndani ya Serikali kuanzia uuzwaji wa nyumba za Serikali kulikofanywa na fisadi Mkapa akishirikiana na fisadi Magufuli ambao umesababisha hasara ya shilingi bilioni 300 and counting, hasara ya uvunjwaji nyumba ambapo Serikali ilibidi ilipe fidia na pia hasara kubwa katika kuwahifadhi samaki waliokamatwa.
Barabara nchini zinajengwa ili kurahisisha usafiri wa bidhaa muhimu na Watanzania toka point A kwenda point B. Hakuna ajabu yoyote kwa barabara kuharibika na hili linatokea katika kila nchi duniani. Tatizo la barabara zetu kuharibika haraka mno ni kwa sababu zinajengwa katika viwango duni sana na hakuna utamaduni wa kuzifanyia matengenezo madogo madogo kila mwaka ili ziweze kudumu kwa miaka mingi bila matengenezo makubwa na ya gharama.
Hao ni wasafirishaji na si waharibifu wa barabara na ndio sababu Pinda aliona kuna umuhimu wa kubatilisha maamuzi ya Magufuli na Mkubwa wao wa kazi Kikwete hajatia neno, kwa maneno mengine anakubaliana na Pinda. Kupanda basi au kutopanda haihusu kitu kwenye mjadala huu unaohusu kukurupuka mara kwa mara kwa huyo Magufuli.
Why this loser is still in the cabinet? :rant:
sijafurahi unaposema nabwabwaja, hii ni lugha ya wahuni, si lugha ya watu wazima wenye busara. sijui umri wako. sisi wengine hatujazoea kutukanwa. kama ungekuwa na busara ungefafanua zaidi nielewe pale ambapo unafikiri sijaelewa bila kutamka kuwa nabwabwaja. this is a discussion forum. hata hivyo, nilijua kuwa hapa tunajadili effects za mgomo wa malori, si hayo mengine unayosema magufuli amefanya. huko mimi siko, sikujua kuwa suala limeletwa hapa kama shambulizi dhidi ya mtu, pengine una ugomvi naye who knows; hiyo tu kuongea kama mhuni uliponijibu unaonyesha kuwa haujafikia kiwango cha watu wazima kuweza kujadili hoja, hivyo hata hii topic unaipunguza thamani kwa hadhi ya mtu aliyeileta. samahani, kwaheri.
sijafurahi unaposema nabwabwaja, hii ni lugha ya wahuni, si lugha ya watu wazima wenye busara. sijui umri wako. sisi wengine hatujazoea kutukanwa. kama ungekuwa na busara ungefafanua zaidi nielewe pale ambapo unafikiri sijaelewa bila kutamka kuwa nabwabwaja. this is a discussion forum. hata hivyo, nilijua kuwa hapa tunajadili effects za mgomo wa malori, si hayo mengine unayosema magufuli amefanya. huko mimi siko, sikujua kuwa suala limeletwa hapa kama shambulizi dhidi ya mtu, pengine una ugomvi naye who knows; hiyo tu kuongea kama mhuni uliponijibu unaonyesha kuwa haujafikia kiwango cha watu wazima kuweza kujadili hoja, hivyo hata hii topic unaipunguza thamani kwa hadhi ya mtu aliyeileta. samahani, kwaheri.
Umeshawahi kupanda basi kaka? Kwa nini kila mizani abiria tunaambiwa sogea mbele. Inawezekana kweli kuna makosa kwenye kutafsiri 5% tolerance, lakini mimi siwezi kutetea hawa waharibifu wa barabara!
Siku ukibahatika kusafiri kwa basi route ndefu jitahi kufika kwenye yard zao kabla basi halijafika stand kupakia abiria ujionee wanachoweka kwenye buti. Nakuapia UTALIA MACHOZI! Mizigo inayostahili kujaza FUSO inaingizwa yote kwenye buti. Utakutana na mifuko ya Cement kama 50 (Hiyo ni ya mmiliki wa basi anajenga kigorofa chake). Nondo za kumwaga, bado Mbao, Bado Mizigo ya kwenye duka la jumla la mmiliki sijui sabuni,ndoo za mafuta,viroba vya mchele na vitu kibao! Ukiongeza na Mizigo ya Abiria lazima ukifika Mizani msogezwe mbele
Mkuu ni janga tupu, ujenzi wa barabara ni wa kisayansi i.e facts na figures. Mjengaji wa barabara ndie ana utaalamu wa kujuwa ni kiwango gani cha uzito kinaruhusiwa ili barabara zetu zidumu kwa muda mrefu, sasa tukianza kuingiza mambo ya siasa kwenye masuala ya kifundi tutafika wapi? Binafsi sioni sababu yoyote ya kuwashirikisha wenye malori na mabasi kujadiliana juu ya viwango - wanacho pashwa kufanya ni kufuata masharti ya matumizi ya barabara basi - hawana mamlaka yoyote ya ku-dictate terms kwa Serikali yetu tukufu na kumdhalilisha ndugu Magufuli, jana nilisoma gazeti moja likimkalili mmoja wa wammiliki wa magari makubwa akimdhihaki Magufuli kwamba ni mwana siasa tu ajuhi lolote na watamfungulia mashtaka - we fikilia mabo yanavyo kwenda siku hizi, leo nilikuwa namsikiliza mmiliki wa mabasi akisema mabasi yaruhusiwe kupita bila kupima uzito na anatoa visingizio vingine vya kitoto tu - Serikali kifanya makosa na Kurusu mabasi ya mikoniani kukihuka kanuni basi wamaliki wata-modify chini ya chassis na kuweka mizingo chungu mzima - hiyo ni rahisi kutokana na mabasi kuwa juu sana, Watanzania tulivyo mabasi hayo yatatumika kama malori bandia i.e kutumika in dual form i.e abaria juu mizigo ya matani chini kiwango cha uharibiifu kitakuwa kikubwa zaidi huku tukiangahika kumtafuta mchawi!! Kusema kweli sakata hili ndio limenikumbushwa ni kwa nini Kambarage alikuwa anakaa mbali wa wafanya biashara, nina uhakika kama mfanya biashara huyo angetamuka maneno hayo Enzi za Nyerere angepelekwa kwenye slammer fasta.if i was magufuri, i would have done the same, nampongeza kwa alichofanya. hii nchi si kilabu cha pombe kwamba watu wanaweza kufanya chochote kama vile hakuna uongozi na mamlaka.
if the term "loser" you are refering to Mgufuli, the later is probably the prudent and dependable cabinet member. Jembe hilo mwana wane. Tutaburuzwa sana na wenye malori ag Riz1. Uhuru wetu utapatika kwa kuwekeza kwenye njia ya reli. Hebu tutoe hoja zinazojenga.Why this loser is still in the cabinet? :rant:
Sawa,jePM kaacha hivyo milele au kuna muda wa mwezi mmoja? Na kama kuna muda, kwa ninihakuondoa moja kwa moja! Tuache tabia ya kuvunja sheria tulizojitungia wenyewe.Hivi vitu vidogo kupenda kuviignore vinatugharimu,ni Tanzania tu ambapo sheriayaweza kupindishwa kwa fair, nakuhakikishia nchi za watu hii haiwezi kutokea,halafu tunalalama kwa nini kila sekta sisi ni wa mwisho, ni bla bls hizi hiziambazo tunaziacha zikue na baadae kuwa mazoea. Kama Taifa hatuwez kufika kwastyle hii kaka!
Na ile sheria ya uhujumu uchumi ni kwa ajili yetu tu?
watanzaniawekaness yetu ni kupambana na wafanya vizuri kaka ntakupa mfano mawaziri wotetz waliojificha chini ya kapeti hata kama hamna wanachokifanya hamna anaewagusakwa mfano wizara nyeti kama afya, maliasili, kilimo hakuna kinachofanyika ilakwa vile mawaziri wake wanajificha chini ya kapeti hakuna anaewasakama utendajiwa magufuli hata kama una mapunguf ni bado wa kupongezwa na mwisho serikaliinatakiwa ifaham hakuna faida versus uharibifu na cost ya kutengeneza barabaraunaofanya na malori tuboreshe reli ili wamiliki wa malori wapungue tz watuwanapongezana eti jamaa kaingiza semi 100 .............
Hivihao wasfirishaji wangetii amri hasara hiyo ingetokea? kwa nimni hujaona kuwakutotii sharia ni uhujumu wa uchumi as reflected by the figures of the economicdamages. Tusifungwe na mtazamo wa wahujumu kwa vile tu Magufuli alikosea kwakutoa short notice ya implementation ya sheria hiyo.[/QUOTE][/FONT][/COLOR]
Hata kama siyo milele lakini Serikali itakaa chini na chama cha wasafirishaji kufikia muafaka wa nini kifanyike, na kama chama cha wasafirishaji kikishikilia msimamo wake basi Serikali inaweza kabisa kuachana na hayo maamuzi ya fisadi Magufuli. Watu hamjui kwamba kuongezewa kodi kwa wasafirishaji hakuwaumizi wao tu bali kunawaumiza Watanzania wote maana watapandisha gharama zao kwa wasafiri, kwa kusafirisha bidhaa na hivyo kuongeza mfumuko wa bei nchini.
Mkuu huyu ni mhujumu uchumi bila wasiwasi wowote. Hasara kwa Serikali kwa kukwapua nyumba zake Trillioni, hasara ya samaki bilioni 3, hasara ya kuvunja kituo cha kuuza petrol kule Mwanza bilioni 4, hasara ya kukurupuka juzi bilioni 1 na nusu nado kua hasara nyingine chungu nzima zilizosababishwa na huyu fisadi.
Mawaziri wote utendaji wao ni mbovu na unaliingizia Taifa hasara kubwa sana na ndio maana miaka michache iliyopita Wabunge wa CCM walimshinikiza Kikwete awafukuze baadhi ya Mawaziri, kwa maoni yangu alitakiwa awafukuze mawaziri wote kama alivyofanya Rais wa Malawi Joyce Banda, lakini Kikwete hana ubavu huo.
Huyu kinachomponza ni kukurupuka na hivyo maamuzi yake mengi yanawagusa Watanzania kirahisi mno na ndio maana wakubwa wake wa kazi kwa mara ya pili sasa wamebatilisha maamuzi yake. Unasema tuboreshe reli, kwa hii Serikali sahau hilo maana ipo ipo tu reli hiyo haitaboreshwa kesho wala kesho kutwa.
Magufuli asingekurupuka kama ilivyo style ya maamuzi yake mengi angekaa nao chini kufanya mazungumzo ya kina ili kufikia makubaliano ambayo pande zote mbili zitaridhika nayo, lakini juhudi zao za kukaa chini na fisadi magufuli zikagonga ukuta na wakawa hawana jinsi bali kuamua kama walivyoamua na baada ya Serikali kuona athari kubwa ya mgomo wao maamuzi ya fisadi Magufuli yakabatilishwa.
Serikali iachane na tabia ya kutafuta vyanzo vya mapato kirahisi rahisi kwa kuendelea kuwakamua Watanzania. Wale Barick tangu waingie nchini mwaka 99 mpaka 2011 mapato yao yalikuwa ni $12 billion, kama wangekuwa wanatozwa kodi ya 30% hilo ni sawa na pato la $4 billion kwa taifa tangu 1999 mpaka 2011. Na hiyo ni kamouni moja tu tukiweka kamouni zote za uchimbaji dhahabu, almasi, Tanzanite, gas n.k. kwa mwaka Serikali ingeoata mapato ya at least $1 billion na hivyo kuachana na tabia ya kuwakamua Watanzania kila kukicha. Sasa hivi kuna kesi mahakamani kuhusiana na kodi ya simu, kodi za vinywaji ndio zinaongezeka kila mwaka. Umefika wakati Serikali ikaangalia uwezekano wa kuwapunguzia kodi Watanzania na hivyo kuanza kuwatoza kodi wanaovuna utajiri wa Tanzania ambao hawalipi kodi hata senti moja. Mwaka jana Muhongo alitangaza baadhi ya makampuni ya uchimbaji madini yataanza kutozwa kodi ya 30%, wakatishia kufunga virago kodi hiyo ikafa kifo cha kimya kimya. Haya makosa ya fisadi Magufuli ya kukurupuka kila mara katika maamuzi yake na kuliingizia Taifa hasara kubwa lini atajifunza na kuachana nayo!?
Hivihao wasfirishaji wangetii amri hasara hiyo ingetokea? kwa nimni hujaona kuwakutotii sharia ni uhujumu wa uchumi as reflected by the figures of the economicdamages. Tusifungwe na mtazamo wa wahujumu kwa vile tu Magufuli alikosea kwakutoa short notice ya implementation ya sheria hiyo.[/QUOTE][/FONT][/COLOR]
Hii si kuongeza kodi kaka, concept ni ile huruma ya 5% tolerance ambayo ilijengewa mazoe, sasa imefutwa, wapi umeambiwa kodi? Tolerance imefutwa na ukizidisha ni fine, siyo kodi! Kama usipozidisha, na ofcourse yapo makampuni hayajawahi kuzidisha uzito walishangazwa wenzao wanavyogomea ili kuendelea kuvunja sheria, ambayo walipewa favor tu!
Hii si kuongeza kodi kaka, concept ni ile huruma ya 5% tolerance ambayo ilijengewa mazoe, sasa imefutwa, wapi umeambiwa kodi? Tolerance imefutwa na ukizidisha ni fine, siyo kodi! Kama usipozidisha, na ofcourse yapo makampuni hayajawahi kuzidisha uzito walishangazwa wenzao wanavyogomea ili kuendelea kuvunja sheria, ambayo walipewa favor tu!
I second, Magufuli's One-Man-Showmanship is costng the nation.Hujui unalozungumza unabwabwaja bila kuangalia negative impact ya huyu jamaa ndani ya Serikali kuanzia uuzwaji wa nyumba za Serikali kulikofanywa na fisadi Mkapa akishirikiana na fisadi Magufuli ambao umesababisha hasara ya shilingi bilioni 300 and counting, hasara ya uvunjwaji nyumba ambapo Serikali ilibidi ilipe fidia na pia hasara kubwa katika kuwahifadhi samaki waliokamatwa.
if i was magufuri, i would have done the same, nampongeza kwa alichofanya. hii nchi si kilabu cha pombe kwamba watu wanaweza kufanya chochote kama vile hakuna uongozi na mamlaka.