Tetesi: Huenda muda wowote internet ikazimwa

Tetesi: Huenda muda wowote internet ikazimwa

Humu ndani kuna utajiri wa rasilimali watu, nani atupe mbinu tutumie pindipo internet ikizimwa?
 
Ivi hamna hamna alternative tuchukue kukaa hewani kama internet ikizimwa.
 
Wasizwa watazima internet aisee na malipo yote yatasimama kwa muda hii hasara ya kuzima internet sijui waliwahi kupiga hesabu yake au..
Hasara ipo kwa Mwananchi wao hawana hasara posho na mishahara yao ipo palepale, ila wewe mfanya biashara ndo una hasara
 
Pamoja na kwamba siungi mkono maandamano kwa kipindi hiki baada ya yale yaliyopita kuwa Political looting badala ya maandamano ILA nashauri Serikali iwekeze zaidi kwenye technologia; Kitendo cha kuzima Internet inaonesha tunatumia mifumo iliyopitwa na wakati
Wenzetu; Kukitokea changamoto wanazima mitandao ya kijamii ila wana acha mfumo wa email kwa ajili ya uendeshaji wa makampuni na mifumo mbalimbali ya serikali ya mawasiliano na kukusanya mapato; kwa sasa ukizima internet inamaana uchumi unasimama.....
 
Back
Top Bottom