Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Hili ni Jukwaa la siasa, wewe unaleta mahaba ya kisiasa kwa kutumia kivuli cha sheria!!Nimeelewa kumbe hujui sheria na unaingiza siasa
umepigwa upofu?....soma tena!.Mbona sioni mjadala hapa, naona tu hukumu uliyotoa? Hebu lete huo mkataba unasemaje na tukianzia hapo ndipo tunaweza kuwa na mjadala. Vinginevyo 'this is just vapour'!
Hili ni Jukwaa la siasa, wewe unaleta mahaba ya kisiasa kwa kutumia kivuli cha sheria!!
Mmiliki wa vyote viwili ni mmoja, na iwapo kwa bahati mbaya litaibuka zoezi la mtu kufilisiwa, ataumia huyo huyo ambaye jina lake linajitokeza sehemu zote mbili.
hao ndio vijana wa chadema...wamesha 'fubazwa' akili.Jitu ongo na lisilo na aibu ww!Unamtofautishaje Mbowe na Mbowe hotels?!
Hakuna jinsi mkuu sasa ni siku mbili hali wala kunywa maji,kajifungia chumbani.Namhurumia sana Mbowe
Hao vijana wa chadema wanachojua,kupinga kwa propaganda.Hili ni Jukwaa la siasa, wewe unaleta mahaba ya kisiasa kwa kutumia kivuli cha sheria!!
Mmiliki wa vyote viwili ni mmoja, na iwapo kwa bahati mbaya litaibuka zoezi la mtu kufilisiwa, ataumia huyo huyo ambaye jina lake linajitokeza sehemu zote mbili.
Angelipa basi, huyu jamaa anakwenda mahakamani kufanyaje?Sijawahi kuona bahari ikikaushwa , labda Tanzania itavunja rekodi hii .
Kwa kadiri ninavyofahamu BILIONEA Freeman Mbowe anao uwezo wa kulipa mshahara wa watendaji wote wa ccm nchi nzima kwa kipindi cha miaka 10 bila kutetereka , hii ni pamoja na wafanyakazi wote wa makao makuu , akiwemo Kinana na Mwenyekiti wake ( ikumbukwe kwamba ana kofia 2 , hivyo analamba huku na huku ) , bila kusahau wafanyakazi wa redio na gazeti la uhuru .
Anayedaiwa ni Mbowe hotels ambapo mmiliki ni Freeman Akaeli MboweAnayedaiwa ni Mbowe Hotels na sio Freeman Mbowe.......kisheria kuna tofauti na haihusiani na siasa.
Dialo anadaiwa wapi?Haya ndiyo mahesabu ya CCM kummaliza Mbowe na upinzani nchini. Mbona kina Diallo wanadaiwa? Watu wamekwapua mabilioni ya Escrow wamenyamaziwa!
Tanapa wakiambiwa mbowe ni msanii wanabisha
Kwa chama chenye demokrasia ya kweli,mbowe alitakiwa ajiuzulu kwa kuabisha chama
Uchafu wa ccm uhalalishe wizi wa mbowe?Mbona yule Mwenyekiti wenu alipiga za escrow ?? Alijiuzulu???
Uchafu wa ccm uhalalishe wizi wa mbowe?
La Mbowe limekutoa wapi ?! Siku hizi umeadimika sana bi dadaMbowe alishamalizwa kisiasa na Kikwete mwaka 2005 alipobwagwa kwa kura 80%, uko wapi wewe? Umelala?
Alipe kodi na deni na asituletee ujinga.
Ni watatu siyo 20Ni kweli kabisa. Kwanza Mbowel Hotels si mali ya Freeman Mbowe pekee yake. Wamiliki wake wako zaidi ya 20, waliyorithi toka kwa Mzee Mbowe Ingalikuwa ni ya Freeman Mbowe pekee yake wala haingekuwa shida na deni hilo angalikuwa ameshalilipa zamani maana ukwasi anao. Hako ni kadeni kadogo sana kwa KUB Mbowe. Tatizo si mali yake pekee na hana mpango wa kuwasaidia hao wenzake unless wakubaliane wamwachie iwe yake pekee kama atalipa hiyo fedha. Yaani hii kwake ni fursa ya kuwa kick off warithi wenzake kwenye hiyo mali. Ni mjanja sana kwenye mambo ya fedha.
Mkuu kwenye nchi zenye maadili sahihi, Mbowe alitakiwa kuwa ameshajiuzulu ile nafasi aliyonayo.Sijawahi kuona bahari ikikaushwa , labda Tanzania itavunja rekodi hii .
Kwa kadiri ninavyofahamu BILIONEA Freeman Mbowe anao uwezo wa kulipa mshahara wa watendaji wote wa ccm nchi nzima kwa kipindi cha miaka 10 bila kutetereka , hii ni pamoja na wafanyakazi wote wa makao makuu , akiwemo Kinana na Mwenyekiti wake ( ikumbukwe kwamba ana kofia 2 , hivyo analamba huku na huku ) , bila kusahau wafanyakazi wa redio na gazeti la uhuru .
hiyo ni kauli yako. sio ya mboweAnayedaiwa ni Mbowe Hotels na sio Freeman Mbowe.......kisheria kuna tofauti na haihusiani na siasa.