Huenda Mbowe akafilisiwa

Huenda Mbowe akafilisiwa

Nikawaida masikini kumzungumzia tajiri, umasikini kitu kibaya sana......
 
2005 kwa Tanzania ilikuwa ni kipindi cha ujima tu, watu wengi hawakuwa well informed
Ila kura million tano sio za kushikia bango hizo

Kaka ako kikwete ni mtata sana lakini

Naam, mbona Mbowe hakuwapata hao? ana nini la kujivunia? madeni ya NHC na NSSF?
 
2005 kwa Tanzania ilikuwa ni kipindi cha ujima tu, watu wengi hawakuwa well informed
Ila kura million tano sio za kushikia bango hizo

Kaka ako kikwete ni mtata sana lakini
Hujui ulisemalo....hivi hujui idadi ya watu imeongezeka?...nani kawafubaza akili zenu hizi...kwanini hamtaki kufikiri?
 
Alileta hamasa kubwa ya demokrasia, kipindi kile wazee na wamama wanaenda kupiga kura wanaonyesha kadi ya ccm kwa karani, vijana walikuwa wakiona kupiga kura ni kama ushamba fulani hivi
Alishinda lakini sio km picha ulojenga kichwani
50d0c61dfd8ed1bb898025e11de5d3ab.jpg

Mbowe alipata ngapi?

Huyo hapo msanii wa kiwango
 
Mbowe alipata kura ngapi?

Mbona unalikwepa swali.

Unaona nyuso za furaha hizo?

Sasa leta picha ya Mbowe na mkewe au na yule hawara yake aliyempa ubunge wa kupendelea utuoneshe furaha zao.
 
Back
Top Bottom