Huenda Mbowe akafilisiwa

Huenda Mbowe akafilisiwa

Anayedaiwa ni Mbowe Hotels na sio Freeman Mbowe.......kisheria kuna tofauti na haihusiani na siasa.
Ni kweli kabisa. Kwanza Mbowel Hotels si mali ya Freeman Mbowe pekee yake. Wamiliki wake wako zaidi ya 20, waliyorithi toka kwa Mzee Mbowe Ingalikuwa ni ya Freeman Mbowe pekee yake wala haingekuwa shida na deni hilo angalikuwa ameshalilipa zamani maana ukwasi anao. Hako ni kadeni kadogo sana kwa KUB Mbowe. Tatizo si mali yake pekee na hana mpango wa kuwasaidia hao wenzake unless wakubaliane wamwachie iwe yake pekee kama atalipa hiyo fedha. Yaani hii kwake ni fursa ya kuwa kick off warithi wenzake kwenye hiyo mali. Ni mjanja sana kwenye mambo ya fedha.
 
Hiyo kampuni ndiyo inampa yeye kula....ikifa na yeye hoi.
Sichelewi kuwaita wapuuzi watu kama wewe, majuzi tuu hapa mumeandika thread zaidi ya mia kuwa Mbowe ni tajiri sana kauza chama kwa mabilioni ya fedha sasa mbona Leo tena mnasema atafikisiwa kwa vile kashindwa kulipa hiyo bilioni moja? Hapo inaonyesha mlivyo wajinga sawa na ng'ombe anayekunya huku nyuma lakini mbele anakula majani.
Umasikini wenu usijenge chuki kwa walionazo, kesi bado inaendelea na deni ni la kampuni ya Mbowe Hotels hivyo na kama ni halali litalipwa na kampuni.
Kumuandama Mbowe na siasa za kitoto hakuna mashiko wenye akili wanaelewa.
After all kutokulipa kodi ya pango kwa wakati sio wizi kama Escrow, EPA, Madini nk. Nashangaa wabwiga mmekazana na kodi ya Pango ya NHC na kuacha WIZI WA WAZI kwenye vitu mbalimbali kama MV DSM, mabehewa na Gas.
Hicho ni kichaa kabisa
 
  • Thanks
Reactions: ibn
Anayedaiwa ni Mbowe Hotels na sio Freeman Mbowe.......kisheria kuna tofauti na haihusiani na siasa.
Nasikia Directors ni Mr. & Mrs. Ukishakua Public/political official wewe na familia yako na mali zako ni kama kioo cha jamii. Be prepared to be scrutinised to the dot. Public have that irrevocable rights.
 
Mimi nimeongelea suala la ufilisi halina siasa. Sijazungumzia hatua zilizochukuliwa na NHC, Ikithibitika kiseria atayefilisiwa ni Mbowe Hotels nadhani unaelewa maana na consequences za kuwa mufilisi.
Sasa kwanini alilalamika kwa kuondolewa Billcanaz?...wacha kurusha miguu kama 'kuku anayekata roho!' unaweza kumtenganisha Mbowe na Mbowe hotels?...Mbowe ni Shareholder wa Mbowe hotels...na kuna mabo yanahitaji director guarantee!
 
Magufuli kachacha hana kiki wala hauzi kurasa za mbele za magazeti kwa hiyo anataka kuja na hadithi za Mbowe hivi kamalizana na Sefu
 
Nasikia Directors ni Mr. & Mrs. Ukishakua Public/political official wewe na familia yako na mali zako ni kama kioo cha jamii. Be prepared to be scrutinised to the dot. Public have that irrevocable rights.

Kwa nini usitumie Kiswahili tu. Ungeeleweka zaidi. Directors wa mashirika yote ya umma ni makada na mengi yamefilisika mbona mmiliki bado anadunda tu? Ni sababu ya matakwa ya kisheria. SUKITA na MEREMETA vilikshakufa na mmiliki CCM bado ipo.......acheni siasa sio kila mahali ni siasa
 
Tanapa wakiambiwa mbowe ni msanii wanabisha
Kwa chama chenye demokrasia ya kweli,mbowe alitakiwa ajiuzulu kwa kuabisha chama
Kwani mbowe anafanya kazi TANAPA si nilidhani TANAPA inahusu mbuga za wanyama???
 
Mbowe ni mfanya Biashara mkubwa tuu so he will pay, ingawa hili swala linaonekana kutawaliwa na siasa. Ni jambo dogo tuu
 
Back
Top Bottom