Huenda Bishop Gwajima kafilisika

Huenda Bishop Gwajima kafilisika

jikite ndani ya hoja gentleman sio nje ya hoja 🐒
Matangazo kidogo basi
People With Rare Features That Make Them Unique.jpeg
 
Kwann Kanisa lilindwe na Vibinadamu kwani. Ilo. KANISA la Mungu au Binadamu!!?????
kilichofungwa ni kibanda umiza cha kisiasa kilichopewa jina la kanisa gentleman 🐒
 
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.

Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.

Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.

Unamshauri nini huyu muungwana?

Mungu Ibariki Tanzania.
Mbona Trump.kaondoa walinzi wa Hallis.Camara na husemi,unaroho mbaya kama bibi yako
 
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.

Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.

Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.

Unamshauri nini huyu muungwana?

Mungu Ibariki Tanzania.
Ushauri wa bure! usitanie watumishi wa Mungu hawataniwagi!
 
Maaskofu wake na wachungaji wamerudia kazi yao ya kubeba magunia ya mkaa soko la Tandale, kweli utapeli una mwisho
 
Ushauri wa bure! usitanie watumishi wa Mungu hawataniwagi!
hivi mtu,
mzinifu, fuska na mrekodi video za ngono huku akiambukiza waamini wake ukimwi kwa makusudi na ngono nzembe anaweza kua mtumishi wa Mungu kweli gentleman?🐒
 
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.

Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.

Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.

Unamshauri nini huyu muungwana?

Mungu Ibariki Tanzania.

IMG_20250829_162652.jpg
 
Shauriana wewe na uchumi wako. Unakaa chumba kimoja lakini unaandika ujinga. Wewe ni ishara ya ujinga . Jinga kabisa
 
Kwani makanisa ya nje ya nchi nayo yamefungwa?
Hana makanisa nje ya nchi kama alivyowaongopea badala yake ana affiliates churches ambazo uhusika wake si wa moja kwa moja maana wamiliki ni wengine
 
Mkuu

Huyu anapotezea muda tu wananchi; wakati wa JPM alipiga marufuku kudai malipo kwa jamaa wanaochukua mwili wa mpendwa wao kutoka mochwati, lakini cha ajabu alipoewa tu kiti akanza kutengea kila kitu kilichoagizwa na JPM sasa anajuta.

Kampeni anayofanya sasa hivi haina kitu chochote kigeni kilichowahi kuahidiwa miaka iliyopita na kama alikuwa na nia njema kwanini hakuanza utekelezaji wa bima ya afya kwa wote, kuacha kunyanyasa wastaafu katika malipo, kuajiri walimu wa sayansi, kudahili wanafunzi wote waliofaulu kuchaguliwa kujiunga chuo kikuu na kupewa mikopo wote bila ubaguzi wa fani za kusomea. wakati wanajinasibu wanakusanya kodi kwa kiwango kikubwa kumbe wanazitumbua wenyewe bila kuwanufaisha wananchi.

Hakuna kokote walikodhamiria kuimarisha kilimo kwa wananchi wa kawaida vijijini.

Hakuna kokote kwenye ilani yao wametamka punguzo la uunganishaji wa umme kwa kila anayehitaji na kwanini alipoingia madaraakani baada ya kifo cha mtangulizi wake aliondoa nafuu ya uunganishaji umme kwa wananchi wakati chama chao ndio walikubaliana hivyo kama sio unafiki ni nini?

Hakuna sehemu yoyote aliyotamka kwamba ataomba msamaha kutokana na utekaji, utesaji, mauwaji na ubambikaji wa kesi kwa wananchi wasio na hatia kisa kukosolewa na kwamba atahakikisha wote waliohusika wanakamatwa na kufunguliwa kesi kutokana na makosa hayo huku viongozi waliokuwa wanasimamia taasisi za usalama wanawajibishwa
 
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.

Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.

Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.

Unamshauri nini huyu muungwana?

Mungu Ibariki Tanzania.
Namshauri Dola haichezewi. Kama anabisha amuulize Elon Musk.
 
Back
Top Bottom