Huenda Bishop Gwajima kafilisika

Huenda Bishop Gwajima kafilisika

View attachment 3457768
[Lengo la Mfuko ]
Kuwasaidia Watanzania wanaoanza biashara ndogo na za kati (SMEs) pamoja na kampuni changa (startups) ili waweze kupata mtaji nafuu na usalama wa kifedha kuendeleza mawazo yao ya kibiashara.

Kupunguza changamoto za mtaji wa kuanzia (seed capital) na gharama kubwa za mikopo ya kibenki ambazo mara nyingi ndizo kikwazo kikubwa kwa vijana na wajasiriamali. @ccmtanzania @uvccm_tz @ccmilala_ @samia_suluhu_hassan nchimbie #kazinaututunasongambele
Kwa nn wasingepewa msamaha wa kodi kwa kipindi cha miaka mitatu mpaka mitano ili wakue badala ya kuandaa mfuko maalumu kwa ajili ya upigaji.
 
Back
Top Bottom