Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,835
Walinzi wapunguzwa, huku baadhi ya vijakazi wa kanisa lake hawaelewi hatma ya malipo yao ya awali kabla ya kanisa kufungwa, wala majukumu yao baada ya kanisa kufungwa kama yanaendelea ama la kwasababu ndipo walipokua wanapata mkate wao wa kila siku na familia zao.
Kumbuka mapato ya bishop Gwajima yalitegemea zaidi sadaka na matoleo ya bila kujibakiza ya waamini wake.
Kwa hali hiyo, inasemekana muungwana yupo hali mbaya kiuchumi. Pension ya ubunge imeishia kwenye madeni tu.
Unamshauri nini huyu muungwana?
Mungu Ibariki Tanzania.