Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

Hi ni kweli Ila watu wamegubikwa na ushabiki pasipo kuangalia maendeleo ya nchi ambapo yatakuwa na manufaa kwa vizazi vyetu.mfano gwajima alikuza vipaji kwa vijana waliomaliza form four na kufeli hii itafanya aliowasaidia kuwasaidia wengine kama sehemu ya shukran na fadhila inayoleta upendo na amani kwa wananchi.
 
Ukiskia watu wanasemasema saana kuhusu Gwajima ujue huyo ndo kiongozi mahiri anayeweza kuwa msaada mkubwa saana kwa wananchi wake
Ukiachilia mbali Mdee alipendwa na baadh ya watu lakini amewaangusha watu wake
Na sasa Gwajima anaenda kushika nafasi ya Mdee ili kuhakikisha wananchi wake wanakuwa na furaha na majimbo yao
 
Gwajima Porn star akawe mbunge???

Uno la gwajima analomwagia kondoo??

Acheni ushamba, Gwajima ana kitu gani kichwani kuwasilisha bungeni?
1Gwajima ana uwezo wa kumfikia Dr slaa hata robo?.
2. Gwajima anauwezo wa kumfikia liisu??
3.Gwajima ana uwezo wa kumfikia zito??
4.Gwajima ana uwezo hata wa kumfikia Bashe.

Gwajima ni watu aina ya Kibajaji na Msukuma.
 
Usiwaze kwa akili yako ya utopolo,kwani marangapi umefanya ujinga?? Na si kila lililopo mtandaoni ni la kweli. Tutakubaliana kuwa hakuna mkamilifu hata wewe hufanya ujinga ila haikuzuii kuiongoza familia yako au kile unachokisimamia.
 
Gwajima akiongoza Kawe maendeleo ndani ya miezi kadha mtayaona , kuna watu walizaliwa kuwa kiongozi
 
Gwajima Porn star akawe mbunge???

Uno la gwajima analomwagia kondoo??

Acheni ushamba, Gwajima ana kitu gani kichwani kuwasilisha bungeni?
1Gwajima ana uwezo wa kumfikia Dr slaa hata robo?.
2. Gwajima anauwezo wa kumfikia liisu??
3.Gwajima ana uwezo wa kumfikia zito??
4.Gwajima ana uwezo hata wa kumfikia Bashe.

Gwajima ni watu aina ya Kibajaji na Msukuma.
Zitto yupi unayemsemea wewe? Acha akili mgando kabisa na ujue kuna watu wanakutegemea utoe mawazo yenye maana
 
Naomba Gwajima achaguliwe, halafu tukaone namna imani yake inavyoliwa na nguvu za kishetani za siasa za uchama na ubaguzi wa ubinaadamu unaodumishwa Bungeni.

Ukiwa muumini huwezi kugawanya uadilifu wako mara tu unapojikuta upo kwenye siasa na unahitajika kufuata misimamo na maamuzi ya mrengo uliokupa jukwaa la kuwa mkuu na mheshimiwa.

SIASA NI SAWA NA TEKNOLOJIA YA UCHAWI, UKIIJUA KUITUMIA HUTAACHA KUKUFURU KWA KUITUMIA VIBAYA.
 
Tukiondoa itikadi za vyama na ushabiki usio na maana sana hasa kwa kipindi kama hiki cha uchaguzi, tujikite sasa kuangalia msaada wa mtu binafsi kwa jamii husika. Askofu Gwajima ambaye ni kiongozi wa kiroho upande wa Wakristo na mgombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM anaweza kuwa msaada mkubwa kwa jamii. Nitaweka baadhi ya shahidi amabzo kwangu naona ziko sahihi.

1. Askofu kuwa mbunge ni alama tosha kuwa kuna alama ya unyenyekevu inaongezeka bungeni, na huu ndio muda pia maimamu wetu kuamka na kuchukua nafasi bungeni. Hii itasaidia mambo yanayopitishwa na bunge kuwa na maslahi ya kiMungu ambapo Mungu ndio mmiliki wa watu

2. Muamko mkubwa kwenye kampeni za Gwajima ambapo jambo kubwa linaloongelewa na wananchi ni NJOO UTUSAIDIE ASKOFU linaonesha wazi uwezekano wa Askofu Gwajima kuwa msaada unakuja kwa kasi jimboni

3. Sera za maendeleo zinazotolewa na Gwajima huenda zikaibadilisha Kawe kuwa mpya kama kauli mbiu ilivyo

4. Exposer yake nje na ndani ya nchi sio ya kubezwa na mtu, ameonekana kuanza maongezi na viongozi wa serikali huku akianza mara moja utekelezaji wa ahadi hata kabla ya kuapishwa. Watu waliokuwa na migogoro ya ardhi kule Chasimba wameishapata jibu lao mapema.

5. Kama Askofu Gwajima atashinda ubunge. huenda tukaanza kujilaumu kwanini hatukujua mapema tukamshtua agombee ile miaka 10 tuliyokuwa tunaongozwa na Halima Mdee ambaye amemaliza muda wake

Imeandikwa na;
Mchambuzi Huru
Ongea sifa ingine ni 1, mla kondoo
2,Adui asiejificha kwa waislamu
Anasema miskiti na madrasa lazima iwe Sunday school
 
Ubunge wa nini wakati kazi ya kusaka misukule hajaimaliza!! Afu ubunge alishasema huo si saizi yake!! Yeye ni mteule wa bwana!!

The GwajiBoy mzee wa toto's...gusa unase !!
 
Back
Top Bottom