Uchaguzi 2020 Huenda Askofu Gwajima akawa ni msaada mkubwa kwa nchi yetu

Unajua kazi
Hivi tuulizane mpaka sasa Halima amefanya nini, tunamchora tu na kakitabu kake kale
Kazi kubwa ya mbunge ni kuwasemea wananchi wake bungeni hivyo kama kuna kitu hakijafanyika lawama zote ni kwa serikali ya ccm
 
Ni upuuz mtupu ila jitahdi kura yako umpe lisu
 

Wewe ndo Gwajima mwenyewe bila shaka alafu naona team gwajima imekuja kwa fujo kusupport hapa, bila shaka mlipeana task huko group la whatsapp kuja kushambulia
 
Tapeli tu kama mm na wewe hana lolote
 
Sitakupa kura mpumbavu na tapeli ...nitakuwa mtu wa mwisho kumpigia huyu tapeli hata kama amebakibi yeye duniani...ni hapana
 
Ni mkichaa tuu atakaye muunga mkono huyu mzinzi, askofu mchwara asiyekuwa na maadili ya kiongozi wa dini.
Hizo sifa anazo mwenyekiti wa saccos yako na chama chake. Kawe imetwaliwa toka mikononi mwa masagaji na kupewa mtumishi wa Mungu. Jambo hilo ni kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…