Huenda 2020 tukawa hatuna chama kikuu cha Upinzani wala Kiongozi wa Upinzani Bungeni ( KUB)

Tatizo la ninyi nyumbu ni kufikiri kuwa ni makosa mtu kuwa na mawazo tofauti na yako, halafu eti mnatetea uhuru wa kujieleza. Pumbavu!
Acha kukurupuka Mkuu. Unajua hata kwanini nimemwambia hivyo? Yeye alichanganya mada. Ule samaki na dagaa kuongeza uwezo wako wa kufikiri
 
Kwa hiyo chadema wamekufa rasmi kama chama cha upinzani, hakuna sera mbadala tena, kwa sasa zinatekelezwa sea za chama tukufu kwa asilimia mia moja, sawa sawa..
 
Wale wasiopenda CCM halafu hawana imani na mwenendo wa Chadema, option yao kuu ni ACT
Mnachekesha nyie watoto. vyama vya siasa siyo vilabu vya Mpira, vyama ni itikadi au mrengo, mfano sisi tunaoamini kwenye mfumo wa uchumi wa kibepari tunaisuport Chadema. Wale waoamini kwenye mfumo wa kijamaa/kimasikini wako Ccm. Ili ukiunge mkono chama lazima ujinasibishe na ilikadi na sera za chama siyo kubahatisha
 
Ni kweli kwa uhuni huo wa CCM yawezekana maneno yako ni sahihi kabisa - Uchaguzi Serikai ya mitaa ni kieelezo tosha chenye ushahidi ulioshiba kuthibitisha kauli yako. Upo sahihi sana chief...hatuna upinzani 2020 - tunarudi kwenye Chama Kimoja = Itikadi moja = Nguvu ya TANU.
 
Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.

Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.

Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.

Maendeleo hayana vyama!

Mkuu kuna tatizo kwani ?
 
Kwa ridhaa ya wapiga kura au ya uchwara? Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom