johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
- Thread starter
- #21
Hiyo hiyo ya maalimu Seif na Jussa!
Hiyo hiyo ya maalimu Seif na Jussa!
Uchaguzi huru unapatikanaje bwashee?"Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi ccm ijiandae kukabidhi dola"
Watanzania wamekichoka chama cha mapinduzi hata mkiwalamisha vipi ni kwa muda mfupi tu.
Maendeleo yataende kwa kasi kubwa kama yalivyoenda wakati wa chama kimoja yaani 1961-1992 nchi ilikuwa kama dubaiIli uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.
Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.
Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!
Maendeleo yataende kwa kasi kubwa kama yalivyoenda wakati wa chama kimoja yaani 1961-1992 nchi ilikuwa kama dubai wapinzani wamezuia nchi kupata maendeleoIli uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.
Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.
Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!
Bwashee kwani 2015 ilikuaje kule Tanzania Visiwani? Baraza zima lipo mikononi mwa chama tawala. Kwa hiyo hiyo wala haitakuwa ajabu kwa aina ya tume ya uchaguzi tuliyokuwa nayo, msajili wa vyama na muundo wa jeshi la polisi lililopo. Hapo wala haitaji kubadhiri ni "setting" inayosubiriwa kutokea.Ili uwe na chama kikuu cha upinzani na kiongozi wa upinzani bungeni ni lazima idadi ya wabunge na kura za uchaguzi mkuu zihusishwe.
Kwa sasa ukiondoa CCM chama kingine chenye uwezekano wa kupata wabunge na madiwani ni ACT wazalendo ambayo inawategemea zaidi wapiga kura wa Zanzibar hasa kule Pemba kuwachagulia wabunge.
Ndio kusema 2020 tunaweza kuwa na bunge la vyama viwili tu yaani CCM na ACT wazalendo.
Na inawezekana kabisa kwa idadi ndogo sana ya watakayopata ACT wazalendo watashindwa kutambulika kama kambi " rasmi" ya upinzani na hivyo tukarejea kwenye mfano wa bunge la chama kimoja.
Maendeleo hayana vyama!
Mazingira ya uchaguzi huru na haki yameandaliwa?Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi ccm ijiandae kukabidhi dola"
Unapatikana pale tume ya uchaguzi inapokuwa huruUchaguzi huru unapatikanaje bwashee?
Hili swala ndio tumewaomba viongozi wetu waliweke kwenye meza ya maridhianoMazingira ya uchaguzi huru na haki yameandaliwa?
Kama ikiwa hivi hakuna anayetilia shaka ushindi wa chadema.Hili swala ndio tumewaomba viongozi wetu waliweke kwenye meza ya maridhiano
Pamoja na mengineo mengi ambayo yatazungumzwa
Hakuna njia nyingine JPM mwenyewe anauona upepo wa mabadiliko na hawezi kuuzuia hawezi njia pekee ni maridhianoKama ikiwa hivi hakuna anayetilia shaka ushindi wa chadema.
Lkn sidhani kama JPM anaweza kuridhia jambo linalomtafuna mwenyewe. Kwahiyo kwa hili matarajio ya kuafikiana siyaoni.
Yatizo lako unafikiri kila mwanachama wa Chadema ni mchagaHiyo mbege uliyokunywa imechanganywa na gongo!
Kwa taarifa yako situmii aina yoyote ya kilevi ila hili litatokea na mtakiambiana wote huko, Mungu hadhihakiwi.Hiyo mbege uliyokunywa imechanganywa na gongo!
Upepo wa mabadiliko unavuma nchi nzima au ni bora muyakubali mabadiliko laa sivyo mtaishia kuwa historia.Endelea kuota mchana kweupe!
Bora tubaki na liccm letu ili concept ya African socialism ifanye kazi vizuri.
Shida ni kwamba tumpe nani? Wanatakiwa wajitokeze watanzania serious sio kujaribu.Kukabidhi dola ni jambo kubwa lazima wananchi tuambiwe utatufanyia nini? LAzima uwe na sera nzuri zenye kueleweka."Kama uchaguzi utakuwa huru na haki basi ccm ijiandae kukabidhi dola"
Watanzania wamekichoka chama cha mapinduzi hata mkiwalazimisha vipi ni kwa muda mfupi tu.
Ni kweli vitu kama Katiba mpya ni jambo la kwanza kwa Chadema iwapo kitashika dolaShida ni kwamba tumpe nani? Wanatakiwa wajitokeze watanzania serious sio kujaribu.Kukabidhi dola ni jambo kubwa lazima wananchi tuambiwe utatufanyia nini? LAzima uwe na sera nzuri zenye kueleweka.