Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,028
- 54,321
Salam wana bodi,
Serikali imetutangazia na inaendelea kututangazia kuwa huduma ya mtoto chini ya miaka mitano ni bure ingawa sehemu kubwa ya watoto hutozwa pesa hasa wanapopewa huduma hizo kwenye baadhi ya zahanati,vituo vya afya na hata hospital kubwa za rufaa.
Kwenye hii thread yangu naomba ufafanuzi kwa wataalam wa afya wanaojua ni huduma zipi ambazo ni bure kwa watoto wa umri chini ya miaka mitano.
Na huduma zipi kwa watoto ambao wana umri huo huo unatakiwa usilipe hasa kwenye zahanati, vituo vya afya, hospital za rufaa hasa za serikali.
Kuna hoja nyingi na malalamiko hasa utozwaji pesa ama kwa kujua ama kutojua lolote kipi bure kipi pesa ingawa tumeambiwa hakuna bwana bure sasa hivi.