Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

Huduma za FastJet: Kero za watumiaji

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,583
Heshima kwenu wanajamvi

For the first time nimepata ticket ya fast jet nikagundua ni wasanii bora precision air yetu tulioizoea japokuwa inatuzingua sana..

nimekata ticket ya Mwanza next week kwa kujua zile swaga zao za kibegi kidogo, hamna vinywaji zipo kwenye ticket za bei rahisi tu kumbe tofauti..

Nimelipishwa 198 roundtrip ticket ya dar mwz ya next wekend so nikaanza kusoma terms and condition kwenye ticket zao nikakuta ni vile vile kama umelipa 32,000, kwanza ndege haina classes, pili wote mnachukuliwa kama mmelipa bei moja hakuna kitu kilicho tofauti..

Nikamdodosa dada aliyenikatia ticket akanikandamizia Kubeba samaki hairuhusiwi.. Nikajuta mara mbili zaidi maana precision yangu niliacha ticket juzi ya 179 online, begi unabeba size ya kutosha tu, kwenye fast jet kila kitu kununua hata ukate ticket ya bei gani,,,

Halafu wanachokera zaidi bei wanazoweka kwenye website zao ni xcluding other charges ili wakuvutie unapofanya malipo unakuta imepanda mbaya tofauti na precision..

Ngoja nikaingie ndani nione huduma zao zikoje but kwa jicho la kwanza wameshanikera na nitatumia precision kama kawaida, naona ni wazuri kuliko huyu Kasuku anaejiita low cost airline...

Kabla hamjakata fast jet kuweni makini wadau, ni pasua kichwa mbaya hawa watu kila kitu unalipishwa...

Nilitamani niikatae ticket sema tu sikuwa na jinsi
 
bora shetani unayemjua....kuliko malaika usiyemjua......
hii fastjet ilishagoma kabisa kwenye roho yangu..........Precision is there to stay.....kwa upande wangu........
 
Hahaaaaaa unajua nilichosoma kwa mwandishi wetu yuko so cheap;pili si kosa lako maana wengne tulishazoe mwanza 312,500 nini 198'000; kingine unajua ni marufukky kuzoea milupo yaani hujui yukoje nahisi ulikatiwa tkt kwanini?ukienda ofisi zao dirisha zote wamechafua na mashart ya tkt zao ikiwemo ukichelewa imekula kwako tkt ukampe mkeo;kinggine swala la samaki soma kabla ya kukata tkt za ndege hii sio tu pw ;fastjet hata air msae;angalia utayaweza;easy wameandika ndege yao aibeb shombo unataka nini kingine
 
Na Air Msae
 
SIJAMALIZA;;;;KAMA UMESIKIA TANGAZO LAO AMA UMESOMA PALE NJE SAFIRI NA FASTJET KWENDA UKO (KUANZIA) 32,000 na Si kila ukienda UTAKUTA 32,000 INAKUSUBIR WEWE;;SASA BASI M N MSHAURI NALIPWA NA MUNGU NA WENGINE WANAOANA WANAISHI KWA FURAHA SABABU YA DIDY ;SASA BASI USIKATE TAMAA UNAPOONA PW INAKUFAA NENDA PW;UKIKUTA NAULI NJE YA UWEZO WAKO NJOO FASTJET
 
Hii safari sio ya kikazi au serious trip so I have to check best fares.. Nilipenda precision 179 on wekend, nikaona chance za fast jet za bei nzuri nikasema ngoja nikate mapema then nipite nikalipe.. Ndo nikakutana na hicho kisanga,,,

Binafsi nilijua ni kwa walipa ticket za best fares tu ndo wanapata masharti mengi kumbe wote ni sawa sawa.. Nikachoka na kui miss precision mzee wa kubadili ratiba..
Nimekoma na sitarudia na huyu kasuku ni bora prescision hata kama ukikosa best fares bado masharti yao nafuu..

kaka tunatofautiana binafsi kulipa 315 mwanza ni ngumu labda niwe na emergency nzito lakini kikawaida huwezo wangu hauruhusu ndo maana nafanya booking mapema mara nyingi so kama wewe kwako ni poa Hongera
 
Haya NAMALIZIA HILI NI WAZO UKIPENDA CHUKUA LISPOKUFAA WAPE WATOTO WACHEZEE ;;KAMA NDUGU YANGU UNAPENDA TKT ZA BEI NAFUU JUWA PLAN YAKO MAPEMA LINI UNATAKA KUSAFIRI THEN NENDA KAKATE ;MIEZI MIWILI AMA MITATUKABLA NDEGE ZOZOTE UTANUFAIKA NA HILI؛‎;;SASA BASI KAMA UNIAMINI NENDA FASTJET KAKATE TKT YA MEI AMA JUNE KA;A UJAPATA FARE ZA KUMWAGA ;ELKSE STAY BLSD HUU NDIO USAFIRI HURIA
 
Mpika majungu mkubwa wewe, usiye na haya mwana mtoka pabaya. Very irrational, vitu vyote ulivyosema na kulalamika viko wazi kabisa. Hakuna kilichofichwa hata kimoja. Na unathubutu kabisa kuandika kwamba ulianza kusoma terms na conditions baada ya kukata tiketi. Ridiculous, sasa unazisoma za nini wakati umeshakata tiketi? Hii yote inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu. Nahisi wewe ndiyo mwalimu wa hawa watoto waliomaliza juzi, 90% failure. Pathetic. Umeniharibia siku.
 
SIJAMALIZA;;;;KAMA UMESIKIA TANGAZO LAO AMA UMESOMA PALE NJE SAFIRI NA FASTJET KWENDA UKO (KUANZIA) 32,000 na Si kila ukienda UTAKUTA 32,000 INAKUSUBIR WEWE;;SASA BASI M N MSHAURI NALIPWA NA MUNGU NA WENGINE WANAOANA WANAISHI KWA FURAHA SABABU YA DIDY ;SASA BASI USIKATE TAMAA UNAPOONA PW INAKUFAA NENDA PW;UKIKUTA NAULI NJE YA UWEZO WAKO NJOO FASTJET

Nimelipishwa usd 2600 na KLM mpaka grinnel Iowa lakini nika enjoy their service na siwezi kulalamika value for my money,, nikalipishwa usd almost 1000 na emirates mpaka Hyderabad india, na precision wameshanilipisha sana na kampuni yetu inatumia prescision local trip zote lakini wanajitahidi..

Fast jet mmezidi
 
Kuna kitu hujakielewa ndugu yangu. ni hivi ni kweli fast jet huwa na tiketi za 32000 na kuendelea. Lakini tiketi hizo huuzwa kutokana na namba ya siti ambazo wanakuwa wamezi-allocate specially for that price. Sasa basi tiketi za 32k zikiisha utapata za 50 na kitu nazo zikiisha utapata za bei ya juu yani zinaenda zikipanda. The best way to use fastjet is only WHEN you know your trip is. Ndo utapata at a cheaper price koz utakuwa umewahi kuikata. Ofkoz ukitaka kubadilisha incase mipango yako haijakaa vizuri there is price with it which is 40k but hiyo pia inahitaji maelezo marefu kidogo. Kwangu mie its much cheaper ukilinganisha na precision air. Ujanja kuwahi kukata tiketi kama unajua tarehe za kusafiri ukichelewa ndo unakuta tiketi za bei rahisi zishauzwa. Mengine kuhusu samaki sina uhakika lakini kama wamefungwa and wrapped up well sidhani kama ni tatizo ila sijui.
 
Mpika majungu mkubwa wewe, usiye na haya mwana mtoka pabaya. Very irrational, vitu vyote ulivyosema na kulalamika viko wazi kabisa. Hakuna kilichofichwa hata kimoja. Na unathubutu kabisa kuandika kwamba ulianza kusoma terms na conditions baada ya kukata tiketi. Ridiculous, sasa unazisoma za nini wakati umeshakata tiketi? Hii yote inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu. Nahisi wewe ndiyo mwalimu wa hawa watoto waliomaliza juzi, 90% failure. Pathetic. Umeniharibia siku.

mbona umekua mkali sana? LOL! msamehe bure kama fast jet inakuhusu in one way or another
 
Mpika majungu mkubwa wewe, usiye na haya mwana mtoka pabaya. Very irrational, vitu vyote ulivyosema na kulalamika viko wazi kabisa. Hakuna kilichofichwa hata kimoja. Na unathubutu kabisa kuandika kwamba ulianza kusoma terms na conditions baada ya kukata tiketi. Ridiculous, sasa unazisoma za nini wakati umeshakata tiketi? Hii yote inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu. Nahisi wewe ndiyo mwalimu wa hawa watoto waliomaliza juzi, 90% failure. Pathetic. Umeniharibia siku.

duh povu lote hilo?
 
Soma habari za biashara za kimataifa, utauona utaratibu wa gharama nafuu. Airline maarufu majuu zenye utaratibu huu ni Pamela na Easy jet na Ryanair zote za Uropa
 
Mpika majungu mkubwa wewe, usiye na haya mwana mtoka pabaya. Very irrational, vitu vyote ulivyosema na kulalamika viko wazi kabisa. Hakuna kilichofichwa hata kimoja. Na unathubutu kabisa kuandika kwamba ulianza kusoma terms na conditions baada ya kukata tiketi. Ridiculous, sasa unazisoma za nini wakati umeshakata tiketi? Hii yote inaonyesha jinsi ulivyo mbumbumbu. Nahisi wewe ndiyo mwalimu wa hawa watoto waliomaliza juzi, 90% failure. Pathetic. Umeniharibia siku.

acha ufala wewe au umetoka kugegedwa nini??mbona unaropoka tu kama unataka hogo weye?? Habari za watoto walio feli kwa upumbavu wa serikali yako na swala la ticket za ndege vinahusiana nini??yaan wewe ndo umeonesha undezi wako kwa kuhusisha mada zisizo husiana mishipa kama wwe yafaa ichomwe moto bitch!!!!!!!! Na watafeli sana kma serikali yako haita wathamin hao walimu.
 
Unauwezo mdogo kwa kufikiri.. ukisoma terms and conditions zao fast jet zpo wazi. Tatizo letu wa tanzania ni watu wa kulaumu na majungu pasipo kuliza utaratibu. kwa ndugu zangu waliopata kuish abroad nahc si wageni na easyjet hli ni shirika la ndege lina operate same way na fastjet na limefanikiwa sana sababu wenzetu wapo organised na safari zao zipo planned...hawakupuki kama sisi thats y wana enjoy na kufanikiwa...ukijarib kuangalia fastjet wapo sawa na bei zao ni cheap. Sana hata ndege zao ni mpya na kubwa na usalama ni mkubwa kulinganisha na precision ambao kla cku wanahairisha safari kwa kgezo cha ndege zna hitilaf angali ipo waz ndege zao ni mbovu na nyng ni zakizaman.
 
Mimi nina imani ukifuata T&C hawa Fastjet unaendana nao sawa sawa tu. Nilikata nilifanya booking a week before na leo alfajiri nimesafiri nayo kutoka Dar to Mwanza,hakuna chochote nilicholipia zaidi ya tiketi..nilikuwa na kibegi kdg cha mgongoni sikuambiwa kukilipia.
 
Back
Top Bottom