monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,883
- 13,621
Jamani,hao hawaitwi machangudoa wanaitwa watoa huduma!
Nipe namba pm wife anazingua
ha ha ha ha ha ha in jiwezis voiceMh tunakoelekea ni kuzuri mno!!
Unaweza kufanya mapenzi na mwasirika bila kondomu na usipate mambukizi kupata ukimwi ni ngumu sana siyo rahisi naamini kondomu ni salama kwa 100%Kalaghabao wee sijui uko dunia ya ngapi?condom hazizuii maambukizi ya vvu.Condom zinazuia magonjwa mengine ya ngono,mimba pia ila si vvu.Condoms zote zina vitobo vidogovidogo ambavyo ni ukubwa wa 1.5 na kirusi cha ukimwi kina ukubwa wa 0.5. Ukisurvive gonjwa na huku mzururaj shukuru rehema za Mungu si useme kondom umekusaidia.Tafuta mpenzi mmoja mwaminifu.Mshirikishe Mungu kama ni unaamin katika Mungu.Okay bye
mtaje na sisi tumjueMm namjua
Dah....ndiyo asili ya mwanamke...toka enzi na enzimbona siku hizi karibia kila mmoja anajiuza

Duhmbona siku hizi karibia kila mmoja anajiuza
Ingekuwa hivyo mbona watu wengi sana wangekuwa na ngomaKalaghabao wee sijui uko dunia ya ngapi?condom hazizuii maambukizi ya vvu.Condom zinazuia magonjwa mengine ya ngono,mimba pia ila si vvu.Condoms zote zina vitobo vidogovidogo ambavyo ni ukubwa wa 1.5 na kirusi cha ukimwi kina ukubwa wa 0.5. Ukisurvive gonjwa na huku mzururaj shukuru rehema za Mungu si useme kondom umekusaidia.Tafuta mpenzi mmoja mwaminifu.Mshirikishe Mungu kama ni unaamin katika Mungu.Okay bye
Aisee,nikiona stories za hivi huwa nawahurumia sana Wanadamu.Yaani mkuu unaliongea hili jambo as if ni jambo zuri na lisilo na shida yeyote mbele za Mungu.Habari wadau?
Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa.
Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.
Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.
Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta).
Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)
Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.
Noma sana!Unapaswa uende sokoni, uchague bidhaa ile kitu macho imependa!, kisha ufanye test drive, ujiridhishe na services!, then chukua number ya simu, bidhaa hiyo ndio inakuwa "call off order yako!".
P.
So tendo la dem na dada poa ni sawa?Dah,binadamu kwisha kabisa,hata wanyama hawajafika hapo.Umeshaona mnyama akimuingilia mnyama of the same sex,shameful indeed.Ikiwa kwa dem unafuata tendo. Bac bora utafute ma dda poa
Noma sana!usithubutu tena kufanya hvyo kaka angu kiroho safi tu
miaka michache iliyopita binamu yangu alipiga simu kumripoti mtu kua ni muuza sembe,mamwela wakatia timu kwa yule mshkaji na defender bas wakamkuta jamaa maana walimkagua wakakutana nao
akawaambia ngoja nimwite mtu anaenieletea akampigia akafika alivyofika...!!!staki kusema ni nani ila maaskari wenyewe waliblow akawaambia huyu kijana wangu!
mamwe la wakamtaja binamu wakasema vp tumgeuze kesi...?!!
mshikaji alikua muungwana akasema msameheni bado mtoto hajui life
AamenNikiwa Kama Mchungaji, Namkea Mtoa Post,na Iyo Mada Naifuta Kwa Damu Ya Yesu, Ninaua roho Ya Uzinzi Ilyo Kwny Mada Kwa Jina La Yesu Kristo.