Huduma za changudoa

Huduma za changudoa

Habari wadau?

Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa.

Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.

Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.

Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta).

Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)

Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.
Daah akili nyengine bnh n ttzo
 
Wazo zuri sana.!
Unapoenda kununua ama kukodisha papuchi kwa matumizi ya muda utatumia ukiwa na tahadhari ya kutosha sabbu pande zote mbili hamuaminiani. Anaetoa na anaepokea, lakini hawa wengine mnaoita nyumba ndogo sijui demu wangu ni matatizo makubwa.

We mpangie nyumba mwenzio atanunua samani, mnunulie simu mwenzio ataweka airtime. Hata hao wa ndani bado ni matatizo vile vile, lakini huduma hii ikihalalishwa kila mtu atafanya kwa uhuru.
Mnunuzi atapata haki yake kwa heshima zote na muuzaji atapata haki yake, wakati huo huo serikali nayo ikipata kodi yake kihalali kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kalaghabao wee sijui uko dunia ya ngapi?condom hazizuii maambukizi ya vvu.Condom zinazuia magonjwa mengine ya ngono,mimba pia ila si vvu.Condoms zote zina vitobo vidogovidogo ambavyo ni ukubwa wa 1.5 na kirusi cha ukimwi kina ukubwa wa 0.5. Ukisurvive gonjwa na huku mzururaj shukuru rehema za Mungu si useme kondom umekusaidia.Tafuta mpenzi mmoja mwaminifu.Mshirikishe Mungu kama ni unaamin katika Mungu.Okay bye
Poorest coment

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau?

Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa.

Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.

Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.

Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta).

Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)

Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.
Mdogowangu pole sana
Njoo inbox tuongee kisaikolojia washakuharibu Mdogowangu
Tatu iyo kodi vepe?! Usituletee mambo ya Kontena hapa bado umeme na maji havijafika vijiji vyote vya Tanzania Leo unasema kodi ya mwili
Ukiambiwa utoe risiti ya kutumia mwili utaitoa wapi?! Aha hahaha akyanani wonders shall never seeze
 
Sina cha kuchangia katika hili. Zaidi ya kusema jamii za Africa zisiige maadili yote ya ulaya. Tutapoteaaa
 
huyo vailet ni mtundu kitandani balaa anakata mauno kama feni mbovu, ana mahips ya kufa shetani na vichuchu vya wizi. mi huwa namuulizaga ikawaje ukawaga changu.doa? namlaga pale NAMNANI nikiwa dar
hili toto lipooo aisee ni balaaa full ma hips..toto la ukweli
 
unaenda kumnunua binadamu mwenzio!!!? sio fea kabisa, unaweka gap kati walionacho na wasionacho.... tafuta wako mtulizane
Haendi kumnunua binadamu anaenda kununua huduma ,huduma Ingine za kumlipa mwanadamu kutumia viungo vyake ni pamoja na massage ,daktari kukunyoosha viungo etc
Usihusishe mapenzi na ngono .
Ngono ni kama kupiga mwaya ndo maana nyege zinaanza ukiwa under 18 na before marriage zenyewe haziheshimu sheria za mungu wala nchi
 
Hata ikiruhusiwa,bado serikali itahujumiwa,kuna wabishi hawatolipa kodi,hivyo kuwa ni wahujumu uchumi.
 
Nipe namba pm wife anazingua
poa mkuu ntakupm....ila kama unapafaham kona baa pale yupo ulizia vaileth au jna jingine happy...unachosema ni kweli smtmes madem tulionao wanazingua inafaa kujipooza...
 
Habari wadau?

Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa.

Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.

Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.

Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta).

Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)

Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.

cc: Zitto Kabwe
Gwajima
Manabii wote Tanzania
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom