Huduma za changudoa

Huduma za changudoa

Hahahahahaaaaa nakubaliana na weee, juzi nilionyeshwa huo unga, aiseee Yaani ni kiduchu kweli jamaa anauza buku mbili. Nilitamani kupiga picha jamaa akamaind. Polisi nimewapigia weee hadi mkubwa wao lakini Mmmghhh

Mkuu utakuta mtu siku 3 tayari anamiliki gari hapa tz yapo mawili tu, ana nyumba tano na makorokoro kibao, ukiuliza kazi yake utakuta ana saloon na kiduka cha nguo tu......
 
Kalaghabao wee sijui uko dunia ya ngapi?condom hazizuii maambukizi ya vvu.Condom zinazuia magonjwa mengine ya ngono,mimba pia ila si vvu.Condoms zote zina vitobo vidogovidogo ambavyo ni ukubwa wa 1.5 na kirusi cha ukimwi kina ukubwa wa 0.5. Ukisurvive gonjwa na huku mzururaj shukuru rehema za Mungu si useme kondom umekusaidia.Tafuta mpenzi mmoja mwaminifu.Mshirikishe Mungu kama ni unaamin katika Mungu.Okay bye
 
Habari wadau?

Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa.

Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.
Mkuu Superstar 1, umesema kweli kabisa!, hata mimi niliwahi kuisema hii kitu humu, Opinion: Is It Not, Its High Time, Tanzania Tuhalalishe....
Wanabodi,
Takwimu za kidunia, zimethibitisha, biashara kubwa kabisa duniani kuliko biashara zote, na ajira kubwa kabisa duniani kuliko ajira zote, iliyo ajiri watu wengi zaidi kuliko katika ajira nyingine zozote, ni ajira ya utumishi wa kuhudumu katika biashara ya "The Oldest Professional" ambayo pia ndio biashara ya kwanza kabisa kufanywa na binadamu mara tuu baada ya kuumbwa kwa ulimwengu ambapo mama yetu wa kwanza, aliifanya in an exchange ya kuonjeshwa lile "tunda!.".

Jee hamuoni it's about time sasa Tanzania tuihalalishe rasmi hii biashara ili iwe ni kazi halali na biashara halali, wahusika walipe kodi na kuchangia pato la taifa?!.
Ili angalau hawa wanawake milioni mbili extra, wapate haki yao kama wengine wenye bahati zao kuolewa, na ni katika kupata haki hiyo, hapo hapo hujikuta pia wameingiza kipato halali kwa jasho lao! na serikali kupata kodi!.

Paskali
P
 
Kalaghabao wee sijui uko dunia ya ngapi?condom hazizuii maambukizi ya vvu.Condom zinazuia magonjwa mengine ya ngono,mimba pia ila si vvu.Condoms zote zina vitobo vidogovidogo ambavyo ni ukubwa wa 1.5 na kirusi cha ukimwi kina ukubwa wa 0.5. Ukisurvive gonjwa na huku mzururaj shukuru rehema za Mungu si useme kondom umekusaidia.Tafuta mpenzi mmoja mwaminifu.Mshirikishe Mungu kama ni unaamin katika Mungu.Okay bye

Weka units za hizo figures zako ueleweke.
 
Hahahahahahahaha mbona madada poa wapo kibao nenda manzese tiptop utawakuta na namba watakupa counta book lenye no zao ni wewe tu full kuhondomola!!!!
 
Hahahahahaaaaa nakubaliana na weee, juzi nilionyeshwa huo unga, aiseee Yaani ni kiduchu kweli jamaa anauza buku mbili. Nilitamani kupiga picha jamaa akamaind. Polisi nimewapigia weee hadi mkubwa wao lakini Mmmghhh

usithubutu tena kufanya hvyo kaka angu kiroho safi tu
miaka michache iliyopita binamu yangu alipiga simu kumripoti mtu kua ni muuza sembe,mamwela wakatia timu kwa yule mshkaji na defender bas wakamkuta jamaa maana walimkagua wakakutana nao
akawaambia ngoja nimwite mtu anaenieletea akampigia akafika alivyofika...!!!staki kusema ni nani ila maaskari wenyewe waliblow akawaambia huyu kijana wangu!
mamwe la wakamtaja binamu wakasema vp tumgeuze kesi...?!!
mshikaji alikua muungwana akasema msameheni bado mtoto hajui life
 
haya mambo c ndo yalizifany sodama na gomora kuangamizwa bila huruma na Mwenyezi Mungu watch out guyz
 
Ngoja nipitie hesabu kwanza za mchepuko wa kitaa unaeamini uko mwenyewe na changu anaejiuza.
Ukitaka kutoka na mtoto wa kitaa-chumba 30,000/
Kunywa pamoja na msosi gharama ya chini sana 40,000/
Kabla hamjatoka hela ya saloon 30,000/bado vocha,
Uchakavu na nauli ya kumrudisha 40,000/.
Jumla 140,000/,hizi ni gharama za kawaida tu.
Changu anaejiuza,chapchap 10,000/au 15,000/ no expenses za chakula wala kinywaji,sex ni mahala popote kwenye gari,hata porini.
Usiku kucha 30,000/ mpaka 50,000/kufuatana na quality yake no other expenses na mkimalizana no kutafutana business kwishneh,nilisahau vibomu vya mara kwa mara vya michepuko ya kitaa,oh vocha mara nna hamu na chips yani shida tupu,changu unakwenda kusex ukiwa umejiandaa na vifaa,mtaani unajiaminisha uko peke yako matokeo yake mnayajua.
Me simo nikijiskia navuta changu tunamalizana kisela no kujuanajuana.
 
Ngoja nipitie hesabu
kwanza za mchepuko wa kitaa unaeamini uko mwenyewe na changu anaejiuza.
Ukitaka kutoka na mtoto wa kitaa-chumba 30,000/
Kunywa pamoja na msosi gharama ya chini sana 40,000/
Kabla hamjatoka hela ya saloon 30,000/bado vocha,
Uchakavu na nauli ya kumrudisha 40,000/.
Jumla 140,000/,hizi ni gharama za kawaida tu.
Changu anaejiuza,chapchap 10,000/au 15,000/ no expenses za chakula wala
kinywaji,sex ni mahala popote kwenye gari,hata porini.
Usiku kucha 30,000/ mpaka 50,000/kufuatana na quality yake no other
expenses na mkimalizana no kutafutana business kwishneh,nilisahau vibomu
vya mara kwa mara vya michepuko ya kitaa,oh vocha mara nna hamu na
chips yani shida tupu,changu unakwenda kusex ukiwa umejiandaa na
vifaa,mtaani unajiaminisha uko peke yako matokeo yake mnayajua.
Me simo nikijiskia navuta changu tunamalizana kisela no
kujuanajuana.

tarime one mnnnnnnnn??
 
Hapa wengi watapinga ila ukweli tunaujua.
Hawa wadada/wamama hawana gharama kabisa na huwezi kuwapiga denda wala kuzama chumvini na muda wote unatumia kinga ingawa wengi wanabeza.
Stress free zone. No SMS,no call
 
Habari wadau? Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa. Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.

Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.

Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta). Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)

Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.
Please wait....the system is downloading some data......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom