Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,897
- 14,435
Parapanda imeshaliaVaileth yuko wapi cku hz

huyo mtoto ni mkali balaaParapanda imeshalia
Binafsi natakiwa kua na mpenzi kwakua nafanya ngono muda wote.Ngoja nipitie hesabu kwanza za mchepuko wa kitaa unaeamini uko mwenyewe na changu anaejiuza.
Ukitaka kutoka na mtoto wa kitaa-chumba 30,000/
Kunywa pamoja na msosi gharama ya chini sana 40,000/
Kabla hamjatoka hela ya saloon 30,000/bado vocha,
Uchakavu na nauli ya kumrudisha 40,000/.
Jumla 140,000/,hizi ni gharama za kawaida tu.
Changu anaejiuza,chapchap 10,000/au 15,000/ no expenses za chakula wala kinywaji,sex ni mahala popote kwenye gari,hata porini.
Usiku kucha 30,000/ mpaka 50,000/kufuatana na quality yake no other expenses na mkimalizana no kutafutana business kwishneh,nilisahau vibomu vya mara kwa mara vya michepuko ya kitaa,oh vocha mara nna hamu na chips yani shida tupu,changu unakwenda kusex ukiwa umejiandaa na vifaa,mtaani unajiaminisha uko peke yako matokeo yake mnayajua.
Me simo nikijiskia navuta changu tunamalizana kisela no kujuanajuana.
Mkuu kimsingi kama taifa litahalalisha hii kitu litakuwa limehalalisha uovu,tena uovu mbaya na hilo ni jambo baya mbele za Mungu.Believe me, kama taifa kwa makusudi kabisa litafanya kosa hilo,kinachofuata ni ghadhabu ya Mungu dhidi yake.God forbid,sitaki taifa langu liende huko,ngoja wanaofanya uovu wao wafanye lakini taifa langu lisihusishwe.Habari wadau?
Kwa kifupi ni kwamba biashara ya wakina dada kujiuza kwa sasa imeshamiri karibu kila kona ya nchi na kati ya wateja ni viongozi wa serikali na wengine wengi hata waliopo kwenye dolla. Ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kuihalalisha kwa sababu pamoja na kuifanya illegal bado inashamiri kuliko biashara nyingi sana ambazo wakina dada/mama wanazifanya. Nchi kadhaa za Afrika wameamua kuruhusu baada ya kuona kuwa wanapoteza mapato mengi sana kwa kujaribu kuikwepa.
Hebu fikiria kidogo. Niliongea na dada mmoja (pale Sinza). Amepanga chumba guest house analipa sh.20,000 kwa siku ambayo kwa mwezi ni 600,000. Kwa siku anapata wateja kati ya 3-8 wa short time ambao wanamlipa kati ya 10,000 mpaka 30,000 kutegemea na ushamba wa mteja (maneno yake). Akipata wa usiku wote ni 50,000-100,000. Sasa kama angelipa 30% as tax unaweza ona kwa kiasi gani serikali ingepata hela.
Jingine ni kwamba huduma wanayotoa inahitajika, ukikaa pale utaona watu wanavyofurika kuchukua wadada poa. Kila dakika kuna mtu anaingia au gari inaondoka na mmoja.
Ishu yangu sasa ni hii. Kama biashara hii ingeruhusiwa kungekuwa na huduma za call girls kibao, wengine tusingepata tabu ya kutafuta walipo. Tungepiga simu tu unaletewa mzigo mpaka unapotaka. Faida yake ni kwamba, kwanza kasi ya maambukizi ya virusi vya ukimwi ingepungua!! Hawa mademu wa mtaani tunaofikiri ni decent ndio wanaotuua, kwa sababu anakuwa na wanaume kadhaa na sisi kwa kufikiri uko pekee, mkishakutana mara tatu nne unaacha kutumia kinga. (Wengi watajifanya hawajui ninachosema hapa lakini mioyo yao inawasuta).
Pili hawa mademu wa mtaani tunaowafanya wa kudumu ni very expensive kuwa-maintain, yet one day anakusaliti!!! Siwataki kabisa na nimeamua rasmi nikisikia muhemuko nachukua changudoa. (Wawili wamenilet down vibaya!! wa kwanza alishika mimba nikalea mpaka akajifungua miaka miwili baadae nikagundua mimba nilipakaziwa. wa pili nimedumu nae miaka minne sasa na yeye hivohivo - nitawapa story zao baada ya hili, yaani kama movie)
Nakaribisha maoni (na matusi kwa wale waliosomea). Sijali.
hawa waachwe wana msaada mkubwa sana kwa jamii yetu sie wafuataoHabari wadau?

UholanziHivi Holland kwa kiswahili ni nini
Hivi Netherlands na Holland ni nchi mbili tofauti?Uholanzi
Namfahamu huyo mdada na nilishamla kipindi kile nimekuja Dar kuleta majeneza ya kuuzaDah ngoja nikutumie kwenye Pm kama uko serious ila yeye unalipia chumba kwanza kama utatumia chumba chake, amepanga Guest moja nzuri tu maeneo ya Mabibo. Yuko vizuri kwa kweli ila huwa akilewa anafanya mambo ya kijinga kidogo. Anaitwa Jack
Kweli wewe mbwa dumeNamfahamu huyo mdada na nilishamla kipindi kile nimekuja Dar kuleta majeneza ya kuuza
50 50 ndo nini??Bado kwenye hizi hotel za 50 50 ni hatari, ukahaba umezidi
Hoteli zenye gharama ya kati, 25, 30, 40, 50, 60, etc. uzinzi unaoendelea huko ni hatari!50 50 ndo nini??
Mkuu naomba namba za Jack please nikauonje na mimi ule msambwandaDah ngoja nikutumie kwenye Pm kama uko serious ila yeye unalipia chumba kwanza kama utatumia chumba chake, amepanga Guest moja nzuri tu maeneo ya Mabibo. Yuko vizuri kwa kweli ila huwa akilewa anafanya mambo ya kijinga kidogo. Anaitwa Jack

Hotel gani hizo....na inatokea vpBado kwenye hizi hotel za 50 50 ni hatari, ukahaba umezidi
Ina maana wahudumu wanatoa auHoteli zenye gharama ya kati, 25, 30, 40, 50, 60, etc. uzinzi unaoendelea huko ni hatari!
Kwa nini mkuuTuko kwenye majonzi makubwa