inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,758
- 22,529
akikupa nipasie na mimi,manake nimetafuta wa kuoa naona mikosi tu,mara mchawi,mara teja,mara familia yake imemkataza kubadili dini,wa mwisho family haitaki kisa mi muha yeye mwarabu,juhud zangu zimefika mwisho kilichobaki niwagonge tuBado mkuu....sijaiona, embu tuma tena.