Huduma ya Unlimited Internet kwaajili ya ofice

Tony guy

Senior Member
Sep 29, 2015
107
44
Habari wana Jf
mm niko Mwanza nimefungua office ambayo inahitaji internet kwa wingi zaidi sasa nimeona nikitumia hizi vocha zitanicost sana, sasa nilikuwa naitaji mtu mwenye kujua ku connect unlimited internet yaan mm niwe nalipia tu kwa mwezi kiasi fulani

mawasiliano yangu ni 0743497079 (tuma hata txt)
 
Wacheki TTCL wako karibia na posta ya Zamani wakuungie Broadband.... Gharama zao kwa shared internet ni hadi 30k kwa mwezi so itategemeana na speed unayohitaji
 
Wacheki TTCL wako karibia na posta ya Zamani wakuungie Broadband.... Gharama zao kwa shared internet ni hadi 30k kwa mwezi so itategemeana na speed unayohitaji

TTCL nadhani watamfaa..hua natumia hiki cha 85,000/= kwa mwezi,spidi ni nzuri.
@Tony guy

Screenshot_2016-01-01-13-18-53_zps8rmjsrxp.png
 
GHarama zao zinacheza ngapi mkuu..kwa faida ya wengi,ingawa hapo ktk red tu ni dalili kua ni ghali
wanatoa dedicated speed hawana bei ambazo ni fixed. mpaka uwasiliane nao ndio watakukadiria.

ila internet yao hakuna mtandao wowote unaoikaribia. na ping ni 1 au 2ms.

kwa comparison mtandao wa simu wenye ping ndogo kama halotel ni 30ms hivyo simbanet ni kama mara 15 hadi 30 faster kwenye response compare na fastest network ya mtandao wa simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom