Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry

Orrionorri

Member
Oct 17, 2014
21
5
Huduma ya Maombi Maalum/Special Prayers Ministry inakualika kushiriki maombi mfululizo/chain prayers kwa siku saba (20-26/10/2014) ili kufunga anga letu la Tanzania dhidi ya virusi vinavyoeneza gonjwa hatari la ebola.
 
glory be to GOD almighty!!!
_mkuu ujumbe umefika ila haujakamilika maana hujasema hayo maombezi ni wapi na saa ngapi

Amen, kwa kawaida maombi ya mnyororo/chain prayers huwa hayakatiki/non stop (24hrs) hivyo hutoa fursa kwa wanamaombi kuendelea kuomba kwa zamu. Naamini utapenda kushiriki, taja muda (frm-to) ili upangwe kwenye ratiba. Maombi haya unashiriki kwa hiari na kwa uaminifu mkubwa hapo ulipo, na Mungu atakubariki sana.
 
wa2 wana mattz meng xana 2cbezi kweny suala moja na kubwa kuliko ni wa2 kumjua mungu na kuokoka alaf wanakuja wakristo wote au wa2 wanaomwabudu mungu kwa roho na kweli kweny msafala wa mamb na kenge wamo ok, maombi mema
 
Siri ya maombi ni kuamini kuwa Mwenyezi Mungu aliyeziumba mbingu na nchi, anasikia maombi yako na atajibu kwa kadri ya mapenzi yake. Mungu ni roho na hana ubaguzi, ila anachukia sana dhambi. Tujitenge mbali na dhambi bila kujali dini/dhehebu, na Mungu atajibu maombi yetu.
 
Waislam nao wanaruhusiwa kushiriki maombi haya ya mnyororo?

IKWETE imani ya kumwabudu Mungu na kumtukuza ni tunda la roho. Mwenyezi Mungu huabudiwa katika Roho na Kweli.

Katika ulimwengu wa roho hakuna dini/dhehebu, ila kufanya maombi ni tendo la imani. Mungu huwarehemu wote, nasi sote imetupasa kumcha yeye.

Mwaliko huu ni kwa wote, waislam kwa wakristo, wenye dini na wasio na dini, wema kwa waovu. Kwa pamoja tutubu dhambi zetu na kumrudia muumba wetu.
 
Last edited by a moderator:
Mm saa 3 usiku mpaka saa nne usiku binafsi nimeguswa mungu awaguse na wengine tukmilishe chain ,

Amen ubarikiwe sana. Uwe mwaminifu kutunza ratiba yako, na Mungu atakuwa mwaminifu kwako na kwa nchi yetu. Ndio yako na iwe ndio, hapana yako nayo na iwe hapana, na ile Kweli ambayo tumeitiwa hiyo, itatuweka huru.
 
Wana-JF wote, wacha Mungu na wasio wacha Mungu, karibuni tushiriki pamoja kuiombea nchi yetu. Mungu aibariki, iwe nchi ya amani yenye maziwa na asali.
 
Wana-JF wote, wacha Mungu na wasio wacha Mungu, karibuni tushiriki pamoja kuiombea nchi yetu. Mungu aibariki, iwe nchi ya amani yenye maziwa na asali.

Amen, nimeguswa sana na hili wazo nami napenda kushiriki nanyi. Utaratibu ukoje mpendwa.?
 
Siombi kwa ajili ya ebola wala ukimwi;bali RUSHWA NA UFISADI,ni tatizo la nchi na chanzo cha maradhi,umaskini na ujinga.
 
Wana-JF wote, wacha Mungu na wasio wacha Mungu, karibuni tushiriki pamoja kuiombea nchi yetu. Mungu aibariki, iwe nchi ya amani yenye maziwa na asali.

kwanini usiiombee dunia unaombea nchi? Huoni kama unafanya ubaguzi? Unataka hivyo virusi viende wapi? Kwanza ni nani aliyeviumba? Hakujua kama vitakuja kuleta magonjwa? Kama alijua kwanini aliviumba? Lengo lilikuwa ni lipi hasa?
 
Back
Top Bottom