Enny
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 962
- 131
kwanini usiiombee dunia unaombea nchi? Huoni kama unafanya ubaguzi? Unataka hivyo virusi viende wapi? Kwanza ni nani aliyeviumba? Hakujua kama vitakuja kuleta magonjwa? Kama alijua kwanini aliviumba? Lengo lilikuwa ni lipi hasa?
Ahahaha nimecheka sana kweli JF raha