peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,967
- 30,916
Kuna sehemu, chunya, Huko Matondo & Itumbi, watoto wa form four hawajawahi kuona Bomba kwa macho!Kwa hili la maji idara ya maji wanajitahidi kwa kiasi chake kwenye maeneo korofi angalau sasa hivi baadhi ya maeneo wanapata siku 2/7 tofauti na zamani!