Huduma ya EMS kutoka posta Tanzania

Huduma ya EMS kutoka posta Tanzania

mrMaco

Member
Joined
Jun 19, 2020
Posts
87
Reaction score
154
Habari zenu wadau
Hivi hawa Posta Tanzania wanatumia usafiri gani kusafirisha package kwa EMS?
Dah kwa kweli wanaboa sana sasa sijui wanazibeba bahasha kweenye mkokoteni ata sielewi...
Hivi bahasha inakaaje siku tano haijafika kwenye destination mpaka ikutwe na deadline juu kwa juu.

Nimetuma bahasha tangu tar 02/11 mpaka leo tarehe 7 bahasha bado ipo njiani kwa kweli waangalie utaratibu mweengine wakusafiririsha maana huuu upo too slowly..
 
Back
Top Bottom