Nipe IMEI number baada ya kufanya malipo ya TSH 15'000
Tumia moja ya namba zangu hapo juu.
Ndio inawezekana, Taarifa tatu zinatakiwa ilinkufanikisha unlocking pamoja na kujua ghalama yake.Unaweza kuunlock Samsung Galaxy Edge 6?
mkuu mimi natumia xperia z inatumia laini ya mtandao mmoja tu
ukiweka laini ya mtandao mwingine hailet option ya kuweka codes yenyewe inaandika NO SIM CARD
vipi unaweza nisaidiaje hapo
Network Unlock CodeSIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock code
SIM network unlock pin
SIM Service provider unlock pin
SIM network unlock pin/NP Code
SIM network subset unlock pin
SIM service provider unlock pin
Network control key
Phone Lock Unblock Code
- Habari ndugu Immortal_MH ,kwa simu yako haitowezekana
- Simu ninazo shughulikia ni zile tu zinazo omba unlock codes,
- Na kwenye screen hutokea moja ya haya maandishi
Code:Network Unlock CodeSIM Unlock code Enter SIM Me Lock Enter NP Code Please Input Network Pin Service Provider unlock code SIM network unlock pin SIM Service provider unlock pin SIM network unlock pin/NP Code SIM network subset unlock pin SIM service provider unlock pin Network control key Phone Lock Unblock Code
Mwl.RCT hii tunnel guru ama PD proxy zifanya kaz kwenye android?
VIP INTERNET- FAQ1. Ni kiasi gani cha Data nitapata kwa mwezi?
Hakuna kikomo cha data utakachopata kwa mwezi, Uta download/Upload kwa kadri uwezavyo.
2. Je speed yake ikoje?
Utapat speed bila kikomo kuanzia siku ya kwanza ya matumizi na haito badilika.
3.Je naweza kujiunga tena baada ya mwezi kwisha?
Ndio utajiunga na VIP INTERNET kila mwezi.
4. Je ninaweza ku_download Torrents?
Ndio utaweza kudownload torrents za movies, series, software, games etl kwa kadri uwezavyo.
5. Je nitaweza kuangalia yuotube na kufanya streaming ya live Tv?
Ndio utawea kuangalia youtube na online TV bila tatizo.
6. Je ninajiunga vipi na VIP INTERNET?
Wasiliana nami ili kujiunga na VIP INTERNET
7. Je VPN Software gani inayotumika ili kupata VIP Internet?
HAKUNA vpn software yeyote utakayotumia.
8. Je ni nani hasa anapaswa kujiunga na VIP internet?
Wale wote walio kwenye database yangu, utanipa User ID yako kama uthibitisho.
9. Je unaswali lolote kuhusu VIP INTERNET tumia skype:mw1rct ; whatsapp: +255 784 496 856 AU tumia JF PM
NB:- Naomba tuzingatie kipengele no.#9
mkuu na zenyewe unapata free unlimited internet
- PD proxy & TunnelGuru ni VPN kwa ajiri ya windows PC
- Kama utahitaji vpn kwa android zilizopo ni kama: PIA, Droidvpn, TroidVPN n.k
- KARIBU
mkuu na zenyewe unapata free unlimited internet