Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

Mwl.RCT

Platinum Member
Joined
Apr 5, 2009
Posts
15,600
Reaction score
22,341

Last Update: 08.05.2016

WASTANI WA MUDA UTAKAO SUBIRI ILI KUPATA UNLOCK CODES ZA SIMU YAKO

LG
: 51 minutes
ZTE: 55 minutes
Blackberry: 6 minutes
Huawei: 4 days TO 9 Days
Samsung: 17 hours 32 minutes
HTC: 6 minutes
Vodafone (Alcatel): 5 Minutes

NB: Kwa wanaoweka order kwa simu za huawei server iko down hivyo inachukua muda mrefu zaidi tofauti na awali. Codes za huawei hupatikana kati ya siku 4 - 9 za kazi.

Karibu
  • Je simu yako ni ya NOKIA, LG, MOTOROLA au HUAWEI na inatumia laini moja?.
  • Je ukiweka laini tofauti kwenye simu; Moja ya haya maneno yanajitokeza ????
Network Unlock Code
SIM Unlock code
Enter SIM Me Lock
Enter NP Code
Please Input Network Pin
Service Provider unlock code
SIM network unlock pin
SIM Service provider unlock pin
SIM network unlock pin/NP Code
SIM network subset unlock pin
SIM service provider unlock pin
Network control key
Phone Lock Unblock Code
Kama jibu ni ndio basi hii thread inakuhusu. Karibu

Je ni Jinsi gani ya kufungua(unlock) simu kwa kutumia unlock codes?

  • Kufungua(unlocking) simu kwa kutumia codes ni rahisi sana. Ili kupata unlock code kwa ajili ya simu inatakiwa utoe IMEI namba ya simu. Andika kwenye simu yako * # 06 # au kwa kuondoa betri kutoka kwenye simu yako utakuta IMEI namba imeandikwa.

Je kipi nifanye ili kupata hizo unlock code za simu yangu?
  • Fuata hizi hatua:
1. Nipatie model and brand mfano: Nokia N97 au HUAWEI ASCEND Y300, na IMEI number yako tu, kwenye comment ya hii thread
2. Nitakujibu comment kwa kuainisha gharama ya unlock code kwa simu yako.kumbuka Kila aina ya simu ina gharama yake.
3. Utafanya malipo ili kupata unlock code yako.
4. Muda wa kupata unlock code ni ndani ya masaa mawili (2) hadi 24(siku moja) inategemeana na aina ya simu yako.

Je ni simu zipi zinahusika katika hii huduma?

  • Ni zile tu ambazo ukiweka laini nyengine tofauti, mfano yaweza kuwa ni simu yako ni NOKIA, LG, MOTOROLA, HUAWEI,nk,ila inakutaka uingize unlock codes. Hii haihitaji uende ofisini kwa fundi ni wewe mwenyewe mahala ulipo unaweza fanyia unlocking simu yako. Kwa kuingiza unlock code ulizo nunua.

Kwa nini simu yako inapaswa kuwa unlocked?

  • Simu ambayo ni unlocked utaweza kuitumia kwenye mitandao mingine. Pia baada ya kusafiri nje ya nchi utaweza kuitumia kwenye mitandao na nchi husika. Vile vile ili Kuongeza thamani ya simu yako
kwa sababu inaweza kutumika kwa laini za simu tofauti tofauti.

Je, ni salama ku unlock simu yako kwa kutumia code itokanayo na IMEI namba yako?

  • Kufungua(unlocking) kwa njia ya code ni salama kabisa na ndio njia ipendekezwayo zaidi. Simu yako itakuwa salama bila kuathiri muundo wake wa programu. Pia hizi code hutokana na watengenezaji wa simu husika wenyewe.
----------------------------------------------------------------

UNLOCK SASA SIMU YAKO PENDWA YA HUAWEI
Y530NA Y330 KWA TSH 20'000 TU, ILI UTUMIE LAINI YEYOTE ILE

UTAPATA CODES ZAKO NDANI YA Siku za kazi 1 - 3
---------------------


----------------------------​

Kwa watumiaji wa simu za ALCATEL ONE TOUCH
  • Ili kupata huduma nipe hizi taarifa mbili pichani

Mfano : IMEI 354459064131xxx
Provide ID : V685-2AVDTZ1


  • Unlock codes utapewa ndani ya siku za kazi 1 - 3 tu, baada ya kufanya malipo


***** WAHI SASA ! UNLOCK SIMU YAKO PEDWA KWA TSH 20'000 TU ******


Karibuni Sana kwa huduma bora na ya hakika.


Hii huduma ku-unlock cm ni ya kweli na hakika nimefurahi baada ya simu yangu ya Huawei Ascend Y300 kuwa unlocked. Mwanzoni sikuwa na imani nilihisi nitatapeliwa, lakini sivyo, sasa hivi simu yangu inapokea line zote. Big up bro Mwl RCT
natoa feedback jamani, Mwl amenisaidia nimeiunlock huawei y 530 ya tigo na sasa inaingia line zote tu. shukran mkuu
Mkuu kazi yako nimeikubali simu yangu sasa natumia laini zote.
HUDUMA NYINGINE

Other SERVICE
> | VPN code re seller

>| Qsat Decoder re seller; Click here
 
Mkuu zile simu za Hauwei za TTCL ambazo zinatumia line zake tu unaweza pia kuzitibu? Kama ni ndiyo nitakutumia EMEI.
 
Mkuu zile simu za Hauwei za TTCL ambazo zinatumia line zake tu unaweza pia kuzitibu? Kama ni ndiyo nitakutumia EMEI.

  • Angalia hiki kipengele.
  • Weka IMEI number, nitakupa jibu. Karibu
 
Please recheck aina ya phone
  • IMEI uliyotoa ndio imenipatia hiyo Phone model ,IMEI no 351966050100541, Jaribu kuitazama upya kama ipo sahihi.
  • Au nipe model and brand mfano: Nokia N97
 
  • IMEI uliyotoa ndio imenipatia hiyo Phone model ,IMEI no 351966050100541, Jaribu kuitazama upya kama ipo sahihi.
  • Au nipe model and brand mfano: Nokia N97

nokia lumia 900, locked to Rogers.
 
Niambie biashara tunafanyaje sasa?
  • Fanya malipo kupitia mpesa # 0768 924 841 ,
  • Hapo Order yako ya "unlock code" itakuwa imekamilika.
  • Pitia hiki kipengele

Karibu
 
Phone: HUAWEI ASCEND Y200
IMEI : 861895014520929
hebu icheki hiyo, nataka ku unlocke simu yangu. Course ina tumia Tigo pekeyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…