Duh jipange kisaikolojia maana waweza ukakata tamaa kwa usumbuf utakao upata.Shida yao pia ni procedures kutoeleweka,utenda kuomba form za madai ukionyesha barua ya kuachishwa kaz unapewa,nenda kwa mwajr ajaze michango,then rudisha hz form kwao hapo ndo ngoma inapoanzia nenda rudi,nenda rudi.............,ili usichoke inatakiwa uwe na likizo km miez miwili had mitatu kwenye shughuli zako.Mie nilisha wahi kuomba kaz kwao kwa utendaji wao hata sna hamu ya kuajiriwa nao tena maana kwa post niliyoomba siwez kubadili Culture ya organisation,wanaboa kiasi kwamba mtu unatamani bokoharam wangewatembelea ili kizaz chao kipotee kabisa,kwani siona km wanaweza kuja badilika.