HALOTEL VAS
JF-Expert Member
- Apr 7, 2016
- 276
- 37
- Thread starter
-
- #141
Matangazo ya mtandao huu kabla haujaanza kufanya kazi, ilitangazwa kuwa minimum internet service itakuwa ni 3g lakini maeneo mengi hayana 3g bali 2g sijajua kwa nini hili.HALOTEL ni mtandao mpya wa simu Tanzania Uliosambaa Sehemu Kubwa, Huduma Nzuri, Bora na Bei Nafuu.
Huu ni utambulisho wa Huduma na Bidhaa za HALOTEL.
Ni maeneo gani hupati 3G tafadhali tunaomba utufahamishe.Ahsante kwa kutufikishia taarifaMatangazo ya mtandao huu kabla haujaanza kufanya kazi, ilitangazwa kuwa minimum internet service itakuwa ni 3g lakini maeneo mengi hayana 3g bali 2g sijajua kwa nini hili.
Tunashukuru kwa kutoa taarifa kwetu...tutayafikisha idara husika kwa ajili ya uboreshaji.AhsanteMtandao huu uzur wake kwangu upo kwenye Internet tofaut na hapo ni upumbavu mtupu SMS kumfikia mtu inachukua masaa customer care ni ******
Mbeya vijijini kata ya isuto, santilya, ilembo, iyunga mapinduziNi maeneo gani hupati 3G tafadhali tunaomba utufahamishe.Ahsante kwa kutufikishia taarifa
Tatizo siyo net ila tatizo ni namna bando linavyoishaInternet ipo vizuri sana [emoji106] [emoji106] [emoji106]
Ahsante tumeyapokea malalamiko na tutayafikisha sehemu husika.Mbeya vijijini kata ya isuto, santilya, ilembo, iyunga mapinduzi
mkuu nashauri ubaki airtel ili MB zisiwe zinakata fasta huku ukienjoy kasi ya Kobe.Hiki kifurushi cha gb2 kwa 1500 nadhani ni masihara maana kinaisha haraka tofauti na kile cha gb1 ya airtel
Halotel mnakuja lini na 4G?View attachment 383306
Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
-Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
-Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
-Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku
UTANGULIZI WA HUDUMA
HALO REDIO: Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO
-Unaweza Kujiunga na huduma kwa:
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 0122 kujiunga na huduma hii.
-Baada ya hapo piga 09 0122 0122 ili kutumia huduma.
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.
UNGANA NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS