Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Live streaming mnaboa mpaka basi, hapa mjini majanga je vijijini si hatari zaidi?
 
upload_2016-9-3_9-11-23.png

UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA
HALO FUN
ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi. Kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz/ kwa kujiunga na huduma
-Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz/ ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1,500/Mwezi

JIUNGE NASI

Facebook:VAS HALOTEL
WhatsApp:0627 942 367
Email:Vas@Halotel.co.tz
Instagram:vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-3_10-52-40.png

UTAMBULISHO WA HUDUMA
HALO STORY
ni huduma mpya inayowapa fursa wateja wa HALOTEL kujiunga na ulimwengu wa hadithi mbalimbali za kuvutia zipatikanazo ulimwenguni kote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
Piga 0901220002 kujiunga na huduma.

FAIDA ZA HUDUMA

-Huduma inawapa burudani mpya wateja wa HALOTEL kwa kupata hadithi mbalimbali za mapenzi,watoto, kuchekesha na zile za asili.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha siku: Tsh 100/Siku- Pata hadithi 2
-Gharama za kuhifadhi hadithi: Tsh 300/Hadithi

JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-Instagram:vas_halotel
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-5_18-47-30.jpeg

Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
-Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
-Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
-Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku

UTANGULIZI WA HUDUMA

HALO REDIO: Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO
-Unaweza Kujiunga na huduma kwa:
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 0122 kujiunga na huduma hii.
-Baada ya hapo piga 09 0122 0122 ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.

UNGANA NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram:vas_halotel
 
upload_2016-9-6_16-24-18.png

Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 150/Mwezi.


UTANGULIZI
MCA ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kusajili huduma: Tuma ON kwenda 15579 au piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Tuma OFF kwenda 15579 au piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA
-Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
-Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 150/Mwezi.

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: vas_halotel
 
upload_2016-9-7_17-42-39.png

UTANGULIZI
MPE SALIO
ni huduma inayowapa fursa wateja wa Halotel kuhamisha salio kutoka kwenye akaunti yako kwenda akaunti nyingine.Huduma hii inaruhusu wateja wa HALOTEL kuzawadia muda wa maongezi na marafiki wanaowapenda.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kutuma salio: Piga *101*NambayaMpokeaji*Kiasi#.

GHARAMA ZA HUDUMA
Huduma hii ni BURE!

VIGEZO NA MASHARTI
-Mteja anaetuma muda wa Maongezi
-Awe mteja wa Malipo kabla aliyewezeshwa kupiga na kupokea.
Mteja lazima awe ameongeza salio kwenye akaunti yake angalau mara moja baada ya kuwezesha.
-Mteja anaepokea
-Mteja awe amewezeshwa kupiga au kupiga na kupokea.
Kiwango cha Kutuma
-Kiwango cha chini cha kutuma muda wa maongezi ni Tsh. 100.

JIUNGE NASI
Facebook: VAS HALOTEL
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Instagram:vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-9-8_18-29-17.png

UTANGULIZI WA HUDUMA

Halo Win ni huduma mpya na yakuvutia kutoka halotel inayokupa nafasi nyingi za kujishindia zawadi mbalimbali zikiwemo za siku, wiki na Mwezi
Wateja wote wa Halotel wanaweza kujiunga na huduma hii, alafu wanatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti zao za simu badaa ya hapo watapokea namba ya bahati na kutakiwa kupiga namba ya huduma na uingiza namba hiyo ya bahati au kuituma kwa njia ya ujumbe mfupi kwenye namba hiyo ya huduma.
Mfumo utachezesha droo na kuchagua washindi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO WIN
-Unaweza kujiunga na huduma kwa njia zifuatazo
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0004 ili kujiunga na huduma hii, alafu utatakiwa kuongeza salio kwenye akaunti yako ya simu, baada ya hapo utapokea namba ya bahati na utatakiwa kupiga namba ya huduma ambayo ni 09 0122 004 na kuingiza namba ya bahati uliyotumiwa.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 004 kujiunga na huduma hii. alafu tuma namba yako ya bahati utakayopokea baada ya kujiunga au kuongeza salio kwenye akaunti yako kwenda kwenye namba 09 0122 004.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi Cha Siku: Tsh 50/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: vas_halotel
 
upload_2016-9-9_16-24-7.png

Pata siku moja bure kwa kujiunga na Huduma ya HALO BEATZ na uweze kutuma na kuweka nyimbo uzipendazo kwa marafiki pale wanapokupigia kwa kutuma ON kwenda 15607.
Piga 15607 (Gharama: Tsh 20/Dakika) kupata nyimbo nyingi mpya za chaguo lako.
Gharama ya kujisajili ni Tsh 20/Siku baada ya promosheni.


UTANGULIZI.
HALO BEATZ
ni huduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL kuweka miito wanayoipenda isikike pale wanapipigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na huduma: Tuma ON kwenda 15607 au piga *15607*1#
-Kupakua nyimbo:Tuma PATA codeyawimbo kwenda 15607 au piga *15607*Codeyawimbo#
-Kupata orodha ya nyimbo mpya: Tuma MPYA kwenda 15607 au piga *15607*5#
-Orodha ya nyimbo kwenye Albam: Tuma ORODHA kwenda 15607 au piga *15607*6#
-Kusikiliza nyimbo kwa kuchagua nyimbo bora: Piga 15607

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za kusajili: BURE
-Gharama ya wimbo kupakua/Wekaupya/Nakili: Tsh.100/Nyimbo kwa mwezi
-Gharama ya kusikiliza (IVR): Tsh.20/Dakika

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Barua pepe: Vas@Halotel.co.tz
 
View attachment 379118
Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
-Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
-Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
-Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku


UTANGULIZI WA HUDUMA
HALO REDIO:
Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO
-Unaweza Kujiunga na huduma kwa:
-Njia ya IVR: Piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
-Njia ya ujumbe mfupi: Tuma ON kwenda 09 0122 0122 kujiunga na huduma hii.
-Baada ya hapo piga 09 0122 0122 ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.

UNGANA NASI

-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
Mjomba hebu nijuze kidogo. Natumia laini tatu, tigo, voda na halotel. Niko chuo ndio ninakofanya kwahiyo huwa najiunga vifurushi vya chuo kupata GB 1. Nikijiunga tigo au voda week lazima iishe. Tatizo linakuja nikijiunga halotel, GB 1 inaisha siku mbili imedumu sana mbili na nusu. Kumbuka, nikiwa situmii MB Mara zote nazima data.

Naomba niaminishe kuwa kwa vyovyote hamniibii au hamuibii Wateja.
 
View attachment 390457
Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 150/Mwezi.


UTANGULIZI
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kusajili huduma: Tuma ON kwenda 15579 au piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Tuma OFF kwenda 15579 au piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA
-Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
-Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 150/Mwezi.

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: 0627 942 367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
Hizo notification zenu haziji kwa wakati na hamna alert ya mteja kujua ni muda gani alitafutwa, mfano mimi nilitafutwa jana nikawa sipatikani, na baada ya muda mwenyewe nikawa nimempigia mtu huyo kabla hata sijapata "MCA" yenu, kisha naletewa hiyo "MCA" kesho yake na naamua kumpigia huyo mtu anasema hapana mimi nilikutafuta jana na mbona tulishaongea?

Sasa rekebisheni katika swala la muda na siku ambayo mtu ametafutwa na akawa hapatikani.
 
Hizo notification zenu haziji kwa wakati na hamna alert ya mteja kujua ni muda gani alitafutwa, mfano mimi nilitafutwa jana nikawa sipatikani, na baada ya muda mwenyewe nikawa nimempigia mtu huyo kabla hata sijapata "MCA" yenu, kisha naletewa hiyo "MCA" kesho yake na naamua kumpigia huyo mtu anasema hapana mimi nilikutafuta jana na mbona tulishaongea?

Sasa rekebisheni katika swala la muda na siku ambayo mtu ametafutwa na akawa hapatikani.
Ndugu mteja ujumbe unaonesha muda.
 
upload_2016-9-10_12-44-3.jpeg

Tuma LIVE PL kwenda 15602 kufurahia taarifa za moja kwa moja za mechi ya wapinzani wakuu wa jiji la Manchester!

Ligi ya Uingereza inarudi tena wikiendi hii huku tukilazimika kutazama mtanange mkali kati ya Manchester United na majirani zao Manchester City.
Jose Mourinho atapambana na Pep Guadiola kwa mara ya kwanza tangu alipoondoka Hispania Hispania mwaka 2013, Uhasimu wao utafanya mtanange huu kuvutia.Huku Timu zote mbili zikiwa zimeshinda mechi zote tatu za mwanzo na wote wakiwa katika nafasi za juu kileleni mwa msimamo pamoja na klabu ya Chelsea. Kwa upande mwinginge Manchester United na City watapambana kupigania heshima ya timu zao na ni moja ya mechi yenye upinzani na kubwa duniani kote,
-Jiunge na huduma ya HALO SOKA upate taarifa za moja kwa moja na matokeo ya Mechi hii katika msimu huu wa 2016-17 wa ligi ya Uingereza
-Tuma: LIVE PL to 15602.

SERVICE FEE
-Kifurushi cha Siku: Tsh 100/Siku

JIUNGE NASI
-Facebook: VAS HALOTEL
-WhatsApp: +255.627.942.367
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
-Instagram: vas_halotel
 
Laini za chuo vyuoni hamna viongozi wenu wanaficha laini fanyeni kuzisambaza vyuoni hasa mbeya
 
upload_2016-9-12_12-45-21.jpeg


ONYESHA HISIA ZAKO KWA MARAFIKI NA FAMILIA!
PATA MWEZI MMOJA BURE KUTUMIA HUDUMA YA HALO SAINI BAADA YA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA.
GHARAMA ZA HUDUMA NI TSH 30 /SIKU BAADA YA MUDA WA BURE

UTANGULIZI
HALO SAINI
ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
=>Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.

FAIDA ZA HUDUMA
-Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
-Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
-Husaidia wateja kutanagaza biashara.
-Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
-Husaidia wateja kujulishana hali.
-Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
-Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.

UNGANA NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Email: Vas@Halotel.co.tz
Instagram:vas_halotel
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Ndugu mteja ujumbe unaonesha muda.
Mkuu naomba uyapitie tena maandiko yangu tafadhali, ni kweli ujumbe unaonesha MUDA, lakini si muda muda wa lini na saa ngapi nimetafutwa isipokuwa nitaoneshwa muda huu nilipokea si muda niliotafutwa.
 
upload_2016-9-15_8-2-48.png


UTANGULIZI.
HALO MOVIE
ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki http://halomovie.co.tz/.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000;Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure

JIUNGE NASI
Facebook: VAS Halotel
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram:vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom