HALOTEL VAS
JF-Expert Member
- Apr 7, 2016
- 276
- 37
- Thread starter
-
- #301
Halotel nawakubali sana ila mna matangazo mengi sana yani, mpaka inakua kero. mtu unaskia sms inaingia, unadhani ishu za hela kuangalia hivi kumbe ni sms toka halotel inakwambia kuhusu kupata matokeo ya euro
Sijawahi kuona poor customer service kama ya kwenu....
Tena toeni namba 100 maana haina msaada kabisa...
Call centre huko wanakata simu za watu....
I don even remember when was the last time nimetumia line yenu...
Pathetic....
Karibuni Airtel[emoji23][emoji112][emoji124]
Habar ya jioni... Naomba kufahamu jinsi ya kutuma muda wa maongezi kwa MTU mwingineView attachment 442122
Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku
UTANGULIZI
HALO REDIO: Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.
JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO
Kujiunga piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.
GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.
TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
- Facebook: VAS Halotel | Facebook
- WhatsApp: 0627 942 367
- Instagram: vas_halotel
- Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
*101*nambayampokeaji*kiasi#Habar ya jioni... Naomba kufahamu jinsi ya kutuma muda wa maongezi kwa MTU mwingine
Habari,Nilishawahi kuandika hapa kuhusiana na kutowezeshwa kwa 3g ktk minara iliyopo kata za Santilya, Isuto, Ilembo na Iyunga mapinduzi ndani ya Mbeya vijijini, lkn mpaka Leo hakuna kilichofanyika.
Hii ni kinyume kabisa na matangazo yenu ya awali kuwa Huduma yenu ya internet isingekuwa chini ya 3g na kwa mantiki hiyo mmetudanganya ama mnahisi watumiaji wa internet wako mijini tu.
Na ninahisi yako maeneo mengi ambayo yana shida km hizi, mko wapi na hamuyaoni?
View attachment 442981
VUMBUA ULIMWENGU MPYA WA HUDUMA ZA ZIADANA UZIJUE HUDUMA HIZO KUTOKA HALOTEL
-Sasa Pata Orodha ya aina za Huduma Mbalimbali kama vile:
• Huduma za halotel
• Halo Beatz
• Huduma za Michezo ya Bahati
• Huduma za Habari za Moja Kwa Moja
• Huduma za Jamii
• Huduma za Manufaa.
kwa Kupiga **#.
-Chagua , Jiunge na Furahia Wakati Wowote Ukiwa na Halotel Leo
TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
NshainunuaSajiri laini ya chuo sh 5,000 hutajutia
Mkuu natumia techno y6,tatizo nikiweka line ya halotel haitaki kuunganusha internet lkn line zingine inaunganisha bila tatizo why halotel tu?HALOTEL ni mtandao mpya wa simu Tanzania Uliosambaa Sehemu Kubwa, Huduma Nzuri, Bora na Bei Nafuu.
Huu ni utambulisho wa Huduma na Bidhaa za HALOTEL.
Uko mji gani mkuuMnaboa sana, yaani niko mjini hapa Internet inazingua utadhani natumia 2G
Umefanya kuset internet ya halotel kwenye simu yakoMkuu natumia techno y6,tatizo nikiweka line ya halotel haitaki kuunganusha internet lkn line zingine inaunganisha bila tatizo why halotel tu?