Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

upload_2016-12-1_19-6-56.png

UTANGULIZI
MIDUNDO
ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:

Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga *15574*1#
Kifurushi cha mwezi 😛iga *15574*7#
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz

FAIDA ZA HUDUMA:

Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA

Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

- Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email:
Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
Halotel nawakubali sana ila mna matangazo mengi sana yani, mpaka inakua kero. mtu unaskia sms inaingia, unadhani ishu za hela kuangalia hivi kumbe ni sms toka halotel inakwambia kuhusu kupata matokeo ya euro

😀
 
Mbona hii mesejj natumiwa mara kwa mara lkn nikifwata maelekezo inagoma kabisa. Naambiwa no mmi connection?

Pata GB 10 kwa sh 2000 tu! Hii ofa ni kwa ajili yako tu! Piga *148*05# kuipata kwenye menu yetu ya ofa spesho za intaneti
 
Sijawahi kuona poor customer service kama ya kwenu....

Tena toeni namba 100 maana haina msaada kabisa...

Call centre huko wanakata simu za watu....

I don even remember when was the last time nimetumia line yenu...

Pathetic....

Karibuni Airtel

Shusha presha aise😀
 
upload_2016-12-2_18-21-19.png

Tuungane pamoja katika Ulimwengu Mpya wa Burudani katika huduma ya HALO REDIO!
Piga 09 0122 0122 Ili Kujiunga Na Utapata Siku Moja BURE Ya Kutumia Huduma Hii
Jiunge Na Klabu Ya HALO REDIO Kwa Burudani Mbalimbali
Gharama Baada Ya Promosheni: Tsh 30/Siku

UTANGULIZI
HALO REDIO
:
Hii ni huduma ya kuvutia inayompa nafasi mteja wa HALOTEL kusikiliza redio mbalimbali duniani kote na kupata taarifa mbalimbali za habari burudani na michezo kutoka sehemu tofauti tofauti ulimwenguni kote, bila huitaji wa masafa ya FM/AM wala mawasiliano ya intaneti.
kupitia huduma hii mtumiaji ataweza kusikiliza miziki ya aina mbalimbali kama vile R&B, rock, pop, Rege na aina nyingine nyingi,pia kupata habari za matukio mbalimbali pia michezo duniani kote
Mtumiaji pia ataweza kuhifadhi chaneli anazozipendelea na kuzisikiliza tena baadae.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA YA HALO REDIO

Kujiunga piga 09 0122 0122 ili kujiunga na huduma hii.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi Cha Siku: Tsh 30/Siku
-Gharama Za Kupiga: Tsh 20/Dadika.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

- Facebook: VAS Halotel | Facebook
- WhatsApp: 0627 942 367
- Instagram: vas_halotel
- Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
View attachment 442122

Habar ya jioni... Naomba kufahamu jinsi ya kutuma muda wa maongezi kwa MTU mwingine
 
Nilishawahi kuandika hapa kuhusiana na kutowezeshwa kwa 3g ktk minara iliyopo kata za Santilya, Isuto, Ilembo na Iyunga mapinduzi ndani ya Mbeya vijijini, lkn mpaka Leo hakuna kilichofanyika.
Hii ni kinyume kabisa na matangazo yenu ya awali kuwa Huduma yenu ya internet isingekuwa chini ya 3g na kwa mantiki hiyo mmetudanganya ama mnahisi watumiaji wa internet wako mijini tu.
Na ninahisi yako maeneo mengi ambayo yana shida km hizi, mko wapi na hamuyaoni?
 
Habari,
Maoni yako tuliyapokea na tunajitahidi kufanya marekebisho pamoja na maboresho katika sehemu mbalimbali za nchi kuhusu huduma zetu zetu.Lengo letu ni kuwafikia watanzania wa aina zote katika kuwapa kilicho bora. Ahsante
 
upload_2016-12-5_17-45-23.png

VUMBUA ULIMWENGU MPYA WA HUDUMA ZA ZIADA NA UZIJUE HUDUMA HIZO KUTOKA HALOTEL

-Sasa Pata Orodha ya aina za Huduma Mbalimbali kama vile:
• Huduma za halotel
• Halo Beatz
• Huduma za Michezo ya Bahati
• Huduma za Habari za Moja Kwa Moja
• Huduma za Jamii
• Huduma za Manufaa.
kwa Kupiga **#.
-Chagua , Jiunge na Furahia Wakati Wowote Ukiwa na Halotel Leo

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
View attachment 442981

VUMBUA ULIMWENGU MPYA WA HUDUMA ZA ZIADANA UZIJUE HUDUMA HIZO KUTOKA HALOTEL

-Sasa Pata Orodha ya aina za Huduma Mbalimbali kama vile:
• Huduma za halotel
• Halo Beatz
• Huduma za Michezo ya Bahati
• Huduma za Habari za Moja Kwa Moja
• Huduma za Jamii
• Huduma za Manufaa.
kwa Kupiga **#.
-Chagua , Jiunge na Furahia Wakati Wowote Ukiwa na Halotel Leo

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS

Hivi nyie halotel bando za chuo ni hii tu ya 500 hakuna nyingine?
 
Mnaboa sana, yaani niko mjini hapa Internet inazingua utadhani natumia 2G
 
Af ukipiga huduma kwa wateja ukabonyeza namba ya kuongea na muhudumu kwa wateja simu inakata! Sasa kama tuna matatizo ya laini zetu tumpigie nani tumfikishie matatizo hayo? HALOTEL VAS
 
HALOTEL ni mtandao mpya wa simu Tanzania Uliosambaa Sehemu Kubwa, Huduma Nzuri, Bora na Bei Nafuu.
Huu ni utambulisho wa Huduma na Bidhaa za HALOTEL.
Mkuu natumia techno y6,tatizo nikiweka line ya halotel haitaki kuunganusha internet lkn line zingine inaunganisha bila tatizo why halotel tu?
 
Mkuu natumia techno y6,tatizo nikiweka line ya halotel haitaki kuunganusha internet lkn line zingine inaunganisha bila tatizo why halotel tu?
Umefanya kuset internet ya halotel kwenye simu yako
 
upload_2016-12-7_19-1-31.png

ONYESHA HISIA ZAKO KWA MARAFIKI NA FAMILIA!
PATA MWEZI MMOJA BURE KUTUMIA HUDUMA YA HALO SAINI BAADA YA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA.
GHARAMA ZA HUDUMA NI TSH 30 /SIKU BAADA YA MUDA WA BURE

UTANGULIZI
HALO SAINI
ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
=>Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.

FAIDA ZA HUDUMA

-Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
-Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
-Husaidia wateja kutanagaza biashara.
-Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
-Husaidia wateja kujulishana hali.
-Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
-Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom