Huduma na Bidhaa za HALOTEL

Huduma na Bidhaa za HALOTEL

upload_2016-11-14_18-38-0.png

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA MICHEZO:
PATA SIKU MOJA BURE KWA KUTUMIA HUDUMA YA MICHEZO KWA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA
GHARAMA ZA HUDUMA BAADA YA PROMOSHENI: TSH 100 /SIKU

UTANGULIZI
MICHEZO
ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kupata habari mpaya za michezo kama vile taarifa za moja kwa moja za mechi,matokeo pamoja na usajili wa ligi mbalimbali.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na Huduma:

- Kupitia SMS
Tuma neno MICHEZO kwenda 15542 kusajili huduma.

GHARAMA ZA USAJILI
-Kujisajili kwa mara ya Kwanza: BURE
-Baada ya Promosheni:Kifurushi cha siku: Tsh100/Siku

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
- Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-15_18-25-44.png

ONYESHA HISIA ZAKO KWA MARAFIKI NA FAMILIA!
PATA MWEZI MMOJA BURE KUTUMIA HUDUMA YA HALO SAINI BAADA YA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA.
GHARAMA ZA HUDUMA NI TSH 30 /SIKU BAADA YA MUDA WA BURE


UTANGULIZI
HALO SAINI
ni huduma inayo wawezesha wateja wa HALOTEL kuonyesha hisia kwa wapendwa wao kwa kuweka saini kama ujumbe na utaonekana kwenye simu wanazopiga au kupigiwa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
=>Kujiunga na huduma
Tuma ON kwenda 15614 kusajili kifurushi cha siku.
Tuma ON30 kwenda 15614 kusajili kifurushi cha mwezi.
=>Kuwezesha saini: Tuma SAINI <UjumbeWaSaini> kwenda 15614.

FAIDA ZA HUDUMA

-Husaidia wateja kuonyeshana upendo.
-Husadia wateja kujitambulisha kwa saini.
-Husaidia wateja kutanagaza biashara.
-Huwezesha mawasiliano baina ya wateja.
-Husaidia wateja kujulishana hali.
-Huduma hii ni kwa wateja wote wa HALOTEL.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 30 /Siku.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 600/Mwezi.
-Kubadili SAINI: Buree na unaruhusiwa kubadili mara nyingi uwezavyo.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-16_18-41-52.png

UTANGULIZI
HALO MOVIE
ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki Mwanzo.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000; Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-17_18-21-45.png

Pata Mkusanyiko Wa Nyimbo Kali Uzipendazo Na Upata Siku Moja BURE Kujiunga Na Huduma
Pata siku moja BURE kwa kujiunga na huduma ya HALO BEATZ na uweze kutuma na kuweka nyimbo uzipendazo kwa marafiki pale wanapokupigia kwa kutuma ON kwenda 15607.
Piga 15607 (Gharama: Tsh 20/Dakika) kupata nyimbo nyingi mpya za chaguo lako. Gharama ya kujisajili ni Tsh 20/Siku baada ya promosheni.


UTANGULIZI
HALO BEATZ
ni uduma inayowapa fursa watumiaji wa HALOTEL kuweka miito wanayoipenda isikike pale wanapipigiwa.

JINSI YA KUJIUNGA NA HUDUMA
-Kujiunga na huduma: Piga *15607*1#
-Kupakua nyimbo: Piga *15607*CodeYaWimbo#
-Kupata orodha ya nyimbo mpya: Piga *15607*5#
-Orodha ya nyimbo kwenye Albam: Piga *15607*6#
-Kusikiliza nyimbo kwa kuchagua nyimbo bora: Piga 15607

GHARAMA ZA HUDUMA
-Gharama za kusajili: BURE
-Gharama ya wimbo kupakua/Wekaupya/Nakili: Tsh.100/Nyimbo kwa wiki
-Gharama ya kusikiliza (IVR): Tsh.20/Dakika

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: http://www.facebook.com/Vashalotel
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS

https://www.facebook.com/Vashalotel...827.1652897501623668/1826328917613858/?type=3
 
upload_2016-11-18_18-38-58.jpeg

UTANGULIZI
MIDUNDO
ni huduma ya muziki inayompa mtumiaji nafasi ya kufurahia nyimbo kwenye simu ya mkononi muda wowote na mahali popote zikiwemo video, miziki, albamu, miito, milio pamoja na picha.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA:

Kusajili
Kifurushi cha siku: Piga *15574*1#
Kifurushi cha mwezi 😛iga *15574*7#
Unaweza kupata huduma ya midundo kwa kutembelea www.midundo.co.tz

FAIDA ZA HUDUMA:
Huduma inawawezesha watumiaji wa HALOTEL kufurahia miziki mbalimbali mizuri kutoka sehemu mbalimbali muda wowote na popote.

GHARAMA ZA HUDUMA

Gharama za kifurushi
Kifurushi cha Siku: Tsh 60
Kifurushi cha wiki: 300 Tsh
Kupakua:
Wimbo: Tsh.300
Mlio: Tsh.150
Muito: Tsh.400

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
- Facebook: VAS Halotel | Facebook
- WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email:
Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-19_11-9-3.png

Furahia Mpambano wa Moja kwa Moja wa Manchester United VS Arsenal ukiwa na Huduma ya HALO SOKA! Tuma LIVE PL kwenda 15602 kujiunga!

Mechi ya mzunguko wa 12 Manchester united wanakutana na Arsenal na kuendeleza upinzani baina wao katika ligi ya Uingereza. United wakiwa wameshinda mechi moja kati ya nne walizocheza kabla ya kupisha mechi za Kimataifa huku wakiwa katika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa Ligi ya Uingereza kuelekea katika mechi ya leo. Man u wapo nyuma kwa pointi 6 dhidi ya Arsenal ambao pia wapo nyuma kwa pointi 2 dhidi ya vinara wa ligi Liverpool na vijana wa Arsenal Wenger hawajafungwa hata mechi moja baada ya mechi yao ya kwanza ya Ufunguzi wa msimu wa ligi

Kupata matokeo ya Moja kwa Moja ya mchezo,Tuma neon LIVE PL kwenda 15602 ufurahie huduma ya HALO SOKA.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
Mimi nina kama siku tatu line yangu ya halotel imepoteza data kwenye cm ninayotumia blackberry q10 na z10 ila nikiweka line nyingine kwenye hizo cm inafanya vizuri,pia hiyo line ya halotel nikiiweka kwenye simu tofauti na blackberry internet inaconnect vizur,sijui tatizo ninini
 

upload_2016-11-21_19-7-14.png

KARIBU KATIKA ULIMWENGU WA MICHEZO:
PATA SIKU MOJA BURE KWA KUTUMIA HUDUMA YA MICHEZO KWA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA
GHARAMA ZA HUDUMA BAADA YA PROMOSHENI: TSH 100 /SIKU

UTANGULIZI
MICHEZO
ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kupata habari mpaya za michezo kama vile taarifa za moja kwa moja za mechi,matokeo pamoja na usajili wa ligi mbalimbali.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na Huduma:

- Kupitia SMS
Tuma neno MICHEZO kwenda 15542 kusajili huduma.

GHARAMA ZA USAJILI
-Kujisajili kwa mara ya Kwanza: BURE
-Baada ya Promosheni:Kifurushi cha siku: Tsh100/Siku

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
- Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-22_18-28-2.png

Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 150/Mwezi.

UTANGULIZI
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Kusajili huduma: Piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Piga *15579*0#
GHARAMA ZA HUDUMA
-Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
-Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 150/Mwezi

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-23_18-48-6.png

PATA SIKU 7 BURE KWA KUTUMIA HUDUMA YA BBC SWAHILI KWA KUJIUNGA KWA MARA YA KWANZA!
GHARAMA ZA HUDUMA BAADA YA PROMOSHENI: TSH 150 /SIKU

UTANGULIZI
BBC Swahili
ni huduma inayowawezesha wateja wa HALOTEL kupata habari za kuaminika kuhusu jamii, uchumi na siasa kutoka sehemu mbalimbali Ulimwenguni.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kujiunga na Huduma:

-Kupitia SMS
Tuma neno BBC kwenda 15596 kusajili huduma.

GHARAMA ZA USAJILI
-Kujisajili: BURE
-Siku 7 Bure kujisajili kwa mara ya kwanza: Tsh150/Siku baada ya promosheni.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
- Instagram: vas_halotel
- Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-24_18-38-36.png

UTANGULIZI KUHUSU HUDUMA
HALO FUN
ni huduma ya kuburudisha na kufurahisha inayo kuwezesha kucheza Magemu kwenye intaneti kupitia simu yako ya mkononi. Kupitia huduma hii utapata nafasi ya kufurahia Magemu mbalimbali bila kikomo Magemu hayo ni kama vile Mashindano ya magari, Ngumi, Shabaha,Utamaduni, Magemu ya kutumia Mbinu na mengine mengi.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA

-Unaweza kujiunga na huduma kwa:
-Kupitia WAP: Tembelea http://halofun.co.tz/ kwa kujiunga na huduma
-Kupitia SMS:
-Tuma SMS “ON” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha siku.
-Tuma SMS “ON30” kwenda 15736 kujiunga na kifurushi cha mwezi.
-Alafu tembelea http://halofun.co.tz/ ili kutumia huduma.

GHARAMA ZA HUDUMA

-Kifurushi cha siku: Tsh 150/Siku
-Kifurushi cha mwezi: Tsh1, 500/Mwezi


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@HALOTEL.co.tz
-Jamiiforum: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-25_18-9-1.png

UTANGULIZI
HALO MOVIE
ni huduma ya filamu kwenye mtandao inayokupa filamu za kipekee za nyumbani na kimataifa kwenye muonekana wa HD kupitia simu yako au tablet. Unaweza kutazama filamu mpya za kuvutia za ndani na zile za kimataifa.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Jisajili na huduma kwa kutembelea kiungo hiki Mwanzo.

GHARAMA ZA HUDUMA
-Kifurushi cha wiki: Tsh 600; Pata filamu 4 bure.
-Kifurushi cha mwezi: Tsh 2,000; Pata filamu 15 bure.
-Hitaji filamu: Tsh 300/Filamu.
-Gharama za Data: Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 

upload_2016-11-26_10-54-10.png

Furahia Mpambano wa Moja kwa Moja wa Manchester United VS West Ham United ukiwa na Huduma ya HALO SOKA! Tuma LIVE PL kwenda 15602 kujiunga!
19:30 November 27th 2016, Manchester United vs West Ham United.


Wakiwa wanarudi katika ligi kuu baada ya ushindi dhidi ya Feyenoord kwenye michuano ya ligi ya Europa. Vijana wa Mourinho wanatakiwa kuwafunga West Ham United kwenye uwanja wa Old Trafford kuendeleza mbio za kuwania ubingwa wa Ligi . Manchester United sasa wapo nyuma pointi 6 kumfikia arsenal aliye nafasi ya 4, kama hawatoweza kuchukua pointi 3 siku ya Jumapili, pengo litaongeza.
West Ham kwa sasa ni moja ya timu zinazofanya vibaya katika kutetea kusalia Ligi Kuu, vijana wa Slaven Bilic wamefungwa mabao 23 katika mechi 12. Ameshinda mechi 1 tu katika mechi 8 zilizopita kati ya timu mbili (1W, 3D, 3L), lakini ushindi huu wa mwisho ulikuwa Mei 2016. West Ham wana lengo la kujiondoa katika nafasi ya kushuka daraja na hivyo huu ni mchezo ambao lazima washinde Dimitri Payet na wenzake.

Kupata matokeo ya Moja kwa Moja ya mchezo,Tuma neon LIVE PL kwenda 15602 ufurahie huduma ya HALO SOKA.

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-28_17-46-9.jpeg


UTANGULIZI
BUSY SMS
ni huduma inayo kuwezesha kuwataarifu wanao kupigia kuwa kwa wakati huo huwezi kupokea simu zao, labda ni kwasaabu ya mahali ulipo, au unaendesha gari , upo Mkutanoni au Hospitalini n.k,
JINSI YA KUTUMIA
-Tuma neno WASHA kwenda 15603 kusajili kifurushi cha siku.
-Tuma neno WASHA30 kwenda 15603 kusajili kifurushi cha mwezi..

GHARAMA
-Gharama za kujisajili:
-Ni bure kwa anaejisajili kwa mara ya kwanza.
-Kifurushi cha siku : Tsh 20 /Siku
-Kifurushi cha Mwezi : Tsh 500 / Mwezi
-Kubadili maandishi/ kuboresha : Bure

TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA
-Facebook: VAS Halotel | Facebook
-WhatsApp: 0627 942 367
-Instagram: vas_halotel
-Email: Vas@Halotel.co.tz
-JamiiForums: HALOTEL VAS
 
upload_2016-11-29_18-24-10.png

Pata Mwezi Mmoja Buree Kwa Kusajili Huduma Ya MCA Na Utapokea Jumbe Za Simu Ulizokosa Pindi Simu Imezima Au Haina Mtandao.
Gharama Ya Kusajili Baada Ya Promosheni Ni: 150/Mwezi.


UTANGULIZI
MCA
ni huduma inayo muwezesha mteja wa HALOTEL kupokea jumbe za simu alizokosa pindi simu ikiwa imezima au haina mtandao. Huduma hii husaidia wateja wa HALOTEL kuwa na mawasiliano muda wowote na mahali popote.

JINSI YA KUTUMIA HUDUMA
-Kusajili huduma: Piga *15579*1#
-Kusitisha huduma: Piga *15579*0#

GHARAMA ZA HUDUMA
-Pata mwezi mmoja buree kujisajili kwenye huduma na utapokea jumbe ya simu ulizokosa pindi simu imezima au haina mtandao.
- Gharama ya kusajili huduma baada ya promosheni ni: Tsh 150/Mwezi


TULIKE/JIUNGE NASI KUPITIA

Facebook: VAS Halotel | Facebook
WhatsApp: 0627 942 367
Instagram: vas_halotel
Email: Vas@Halotel.co.tz
JamiiForums: HALOTEL VAS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom