makong012
Member
- Mar 8, 2019
- 32
- 50
Habari za muda huu wana JF,
Hii wiki nimetua mjini Dar Salaam kulikua na plot niliacha muda mrefu inashugulikiwa hati. Na kuna mtu kutoka halmashauri nilikuwa nawasiliana nae akaniambia hati ilishatoka kitambo, maana mchakato ulianza since 2022 huko.
Nikasema kwa kuwa nipo mjini acha nipate chukua hati yangu kabla sijarudi shamba tangu nimefika saa 3 mpaka saa 10 sioni hati na kila nikiuliza nazungushwa jee huduma katika halmashauri zote huwaga ivi...?