Ok siku moja anzisha uzi,utawasaidia wengiNi kitu ambacho sipendi kabisa kukumbuka ila kilicho nisukuma ni baada ya kukuta huu uzi.
Nitatafuta muda mkuu nianzishe uzi maalumu wa kisa hiki na vingine tofauti kama sehemu ya mafunzo.Ok siku moja anzisha uzi,utawasaidia wengi
akichuale sio kununua ni kukodi vile vipochi manyoyaKununua watu au kununua kitu gan?
ImebomolewaBila kusahau club 5N
Imebomolewa



Hakuna Mkuu. Labdo uende na Morogoro Rd mpk Itigi, Msamvu!mbezi zinapatikana sehem gani
Fanya hivyo mkuu nausubiria kwa hamu Uzi wako!Nitatafuta muda mkuu nianzishe uzi maalumu wa kisa hiki na vingine tofauti kama sehemu ya mafunzo.
ao mademu ndio wanaowauwa mwambie aache au atumie zana tuuTafuta demu tu mkuu achana na hayo mambo mkuu
hahaa kiongozi mwache kila mtu apambane na hapi yakeHakuna cha kujifunza !hapa ni kuorodhesha maeneo ya burudani anayetaka ushauri nasaha aanzishe uzi wake tutamfuata huko msituharibie mood!we karne hii bado unapiga pekupeku dame wa "jalalani"?
Sent using Jamii Forums mobile app
5N imevunjwa mkuuBila kusahau club 5N