Hudhuria msiba

Ni kweli mkuu haya maneno.. Lakini Mi sielewagi sijui kwanini Yale maneno yanayosemwaga pale huwa yana gusa Sana hisia, mpk unasema Leo mwisho . Lakini ukishageuka tu tumesahau kabisa.. Hivi ni Mimi tu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunasahau kwa sababu akili zetu zinakwenda kutafuta chanzo cha kufa kwa marehemu, ukishapata sababu tu huzuni yote inakwisha. Unasahau kuwa kila nafsi itaonja umauti
 
Sikutaka kusoma kitu kama hiki usiku huu, i needed something to enlighten my heart...damn it!!!
 
[emoji1019] [emoji1019] [emoji1019] Rip [emoji24]

Jr[emoji769]
 
Maneno mazito makali kama ya kitabu cha Mithali [emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…