Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,797
- 22,127
vp ulifanikiwa kupata solution ya ishu yako ya zantel? maana na mii imntokea na nimeshindwa kupata suluhu. na nimemjaribu kufanya kama jamaa alivoelekeza nikakuta kila kitu kiko poa but tatzo liko pale pale.
yes iko ful na siku zote huwa natumia "Hybrid"Unapata network signal vizuri?
Wakuu hii modem ya Zantel inaweza kufunguka nikarumia line zote?
Tafadhali, naomba msaada wenu wakuu!
na wewe mambo ya 2009 wayatakia niniwatu wamesusia hii post au wanaogopa kua banned?
na wewe mambo ya 2009 wayatakia nini
ni mwaka jana..
Professionally huawei ec122 ni modem zinazotumia technology ya CDMA, so hata uki fanikiwa ku unlock huta weza kuitumia kama unavyotarajia, coz uta hitaji kutumia vodacom, tigo au airtel ambao wao wanatumia GSM technology. Ni sawa na kuweka maji kwenye engine petrol kwenye rejeta, wont work man.
Unataka kuitumia kwenye mtandao gani boss wangu? Ila nnavyojua mimi modem hiyo kwa hapa tanzania unaweza itumia kwa TTCL,sasatel na zantel tu. Zantel wanauza CDMA modems tu na sio 3G kama voda na wengine