Huawei Mobile Broadband EC122 (Uchakachuaji)

Chipukizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
4,645
Reaction score
7,122
Only CDMA Engineer can do it. Wewe uwezi ata tukikupatia software.
When youy do programing any CDMA terminal the switch at network provider should. Be programed to and feeded with terminal information.So kama unataka kutumia TTCL then TTCL inapidi uwape some information za hiyo modem yako waziprogram kwenye mtambo wao unaocontrol hiyo network
 
Asante kwa hilo nitajaribu kuonana nao (TTCL) tatizo lipo kwenye kumpata mtaalamu anaeweza kubadili nadhani kuna uvunjifu wa sheria hapo unafanyika.
 

Kwenye hii forum GSM-Forum by zfrank redirect kuna articles za simu na modem m ila sema mpangilio wa nondo zao unaweza kupata azi kupata kitu unachotaka. But mostof the solutions works
 
Wakuu hii modem ya Zantel inaweza kufunguka nikatumia line zote?

Tafadhali, naomba msaada wenu wakuu!
 
Habari wadau,

Naombeni msaada wa kuchakachua modem hii:

HUAWEI Mobile Connect
Model: HUAWEI EC121
CDMA 1X USB Stick
FCC ID:QISEC121
ESN: 12D510AC
S/N: KT7NAB1930700293
 
simu za cdma usijisumbue bure. Huwezi na hackers wote bado wanasota ni jinsi gani wanaweza kuzifungua. Kama unataka modem za kuchakachua hamia voda airtel au tigo basi
 
Nisaidieni jinsi ya ku-unlock Orange Moderm Huawei EC122 .

Asanteni
 
Jamani kwa wataalam wetu mwenye uwezo wa ku unlock hizi moderm za zantel ec 122 anisaidie maelekezo hizi moderm hazina imei no.

Nimejaribu kufuatilia thread kadhaa zote zimeishia njiani bila solution kwa wataalamu tuasaidien plz
 
Jamani kwa wataalam wetu mwenye uwezo wa ku unlock hizi moderm za zantel ec 122 anisaidie maelekezo hizi moderm hazina imei no.nimejaribu kufuatilia thread kadhaa zote zimeishia njiani bila solution kwa wataalamu tuasaidien plz

Kama kweli umefuatilia humu lazima umeshaona jibu. Ukweli ni kwamba hizi modem za zantel hazichakachuliki. Modem zote zinazotumia tekelinalokujia aka technology ya cdma kama za zantel, ttcl na sasatel hazichakachuliki.Tulia tu na uendelee kutumia hizo.
 
zinachakachulika na programer kuna thread nyingi google but pasua kichwa me pia nnayo but sielewi lolote. Ila nice modem ina evdo na download speed hadi 2mb/s. Kama kuna mjuzi zaidi atujuzee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…