mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 551
- 618
Huawei analia lia kila siku
Analia sababu, mmarekan anataka amtoe kwenye soko la Dunia.Huawei analia lia kila siku
MI-UI hilo neno UI ni user interface au kiswahili rahisi muonekano. Hio ni operating system ya android yenye muonekano wa Xiaomi na sio operating system ya xiaomi.Wao sio wa Kwanza wapo wenye Os zao na wanafanya vizuri. Mfano angalia xiaomi. Wnatumia MIUI , hiyo Ni OS yao. Sema katika hizo zipo ambazo wao wemeweka apps za Google (play stores, YouTube n.k) na simu zao ni nzuri balร a. Hao Huawei, Samsung sio iPhone tupilie kule. Zicheki online.
Naamini hata Huawei wanaweza tengeneza OS ya kwao na wao wakafanya vizuri zaidi.
Suala lakutumia YouTube, sio lazima uwe na app ya YouTube, unaweza ukatumja internet browser tofauti ukapata connection ya YouTube.
Write your reply... Hata waje na os yao, smartphone bila youtube,gmail,google,google drive.. sio smartphone
7gp
Mbona wanaweza tuu.. wakaja na os yao na wakafanya vzr.. maana hata hayo uliyoyasema yamegunduliwa na hayakuwepo.. kwahi tutegemee mengi maana tunaenda mbele haturudi nyuma.. unataka kuniaminisaha kwamba YouTube, Google,google drive, Gmail, nk ndio mwisho wa ugunduzi??
Blackberry alipotea kishamba
Windows phone pia
Nokia na symbian yake
Hata hao Google projects zao nyingi walizoanzisha zimefeli, nyingi zimefeli kuliko zilizofaulu, unazoziona zinafanya vizuri mfano android ama youtube ni product zilizokuwa zipo tayari wao wakazinunua na kuziendeleza.Mbona wanaweza tuu.. wakaja na os yao na wakafanya vzr.. maana hata hayo uliyoyasema yamegunduliwa na hayakuwepo.. kwahi tutegemee mengi maana tunaenda mbele haturudi nyuma.. unataka kuniaminisaha kwamba YouTube, Google,google drive, Gmail, nk ndio mwisho wa ugunduzi??
Sisi Tunapambana na Dengue
Survival is for the fittest...Analia sababu, mmarekan anataka amtoe kwenye soko la Dunia.
Hivi nini kiliwapata Blackberry mkuu??Blackberry alipotea kishamba
Windows phone pia
Nokia na symbian yake