Huawei inauzwa

Huawei inauzwa

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Hello wana jamvi nina uza simu aina ya Huawei acsend y 210 kwa shilling laki moja na hamsini kwa yeyote atakaye kuwa tayar ani pm au anipigye kwa namba 0788572816 but simu c mpya ni used asanteni xana
 
Hebu iweke picha bw. mdogo. Kwa nini unaiuza ? ni mbovu.... imechakaa..
...umepata jiko na umechacha unataka ujirushe.......
 
uza!!!
 
Mdogo wangu bado uko kwenye heka heka za kuuza zaga zaga zako ili ujidhamini ndoto yako ya kusakata kabumbu, maana mara projector, mara simu.

Kuwa makini usije kutapeliwa pesa zako kwa watakaojifanya wanataka kukufanyia mpango
 
Hahahaha kaka kweli umenichoka
 
Hebu iweke picha bw. mdogo. Kwa nini unaiuza ? ni mbovu.... imechakaa..
...umepata jiko na umechacha unataka ujirushe.......

Nop nmeamuwa tu kuuza coz nw natumia simu nyingne kabsa
 
Hahahaha kaka kweli umenichoka
Siwezi kukuchoka mdogo wangu, utu uzima dawa wewe ukikwama kimawazo inabidi uje kwa kaka mkubwa,

Ndio maana nakupa tahadhari, vipi kwanza projector ulipata mnunuzi?

Na vipi maendeleo yako kuhusiana na kusakata kabumbu umefikia wapi?
 
Projector nimeshauza ila inshu ya soka bado ngumu aiseee ila najipanga kwanza
 
Back
Top Bottom