Naitumia hii kwa kama miezi minne hivi. Being made in partnership with Google, hii device ipo vizuri sana kwenye on-the-go communication needs. In ashida moja kubwa sana nayo ni betri yake (unless wameshafanya mabadiliko), ina-drain haraka sana na bahati mbaya kupata replacement si rahisi, camera yake pia ni hovyo.
Ina uwezo wa multitasking, ina-run Android 2.2 kwa hiyo unaweza kupata apps kibao kutoka 'android market'.
Ina apps ambazo huwa zina-run all the time in the background (mf. email, kama ukiweka FB, twitter an nyingine zinazofanan na hizo) kwa hiyo utaingia gharama ya internet -- ila usihofu kuna app kwenye market ambayo ina uwezo wa disable conn.
Android devices nyingi ikiwemo hii haina file manager, lazima uitafute. Pia upande wa BT -- unaweza kupokea mafaili ya kila aina ila kutuma ni kimbembe napo unahitaji app ya kufanya hivyo.
Anyways tembelea gsmarena.com kuna mengi zaidi