Huawei E3131 MSAADA

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
733
250
Jameni nimepewa hii kitu ila iko locken kwenye mtandao wa mtn uganda, nataka kuianlock ili niitumie na mtandao unaotoa huduma kwa bei nafuu
hivyo naomba msaada 1. To unlock it. 2. Wapi naweza pata dashboard tofauti hii iliyokuja nayo(mtn)

nasubiri wajanja wa jf kunipatia msaada
 

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,614
2,000
Jameni nimepewa hii kitu ila iko locken kwenye mtandao wa mtn uganda, nataka kuianlock ili niitumie na mtandao unaotoa huduma kwa bei nafuu
hivyo naomba msaada 1. To unlock it. 2. Wapi naweza pata dashboard tofauti hii iliyokuja nayo(mtn)

nasubiri wajanja wa jf kunipatia msaada

Mimi nilinunua modem ya hivo Uchina kufika bongo haiko Unlocked nilichofanya niliingia eBay nikakutana na seller anaziuza nikamuomba msaada akasema mpaka hela ambayo ilikua kubwa kidogo kwangu...
Bahati nzuri kaka yangu kakaa UG na anajua kuzichakachua hivo alinichakachulia hiyo makitu...Japo mimi sikuelewaga njia....

Ikishindikana tubadilishane na yangu E3131 Unlocked maana na mimi natafuta sana hiyo Dashboard ya MTN sipendi dashboard za kibongo au niuzie ununue nyingine....

Sorry kwa ku hit nje ila kama upo tayari chukua namba kwenye footer yangu tuwasiliane
 

Ngamba

JF-Expert Member
Jun 6, 2013
733
250
Poa tu kaka, ila nigependa kujua uko wapi? Maana mie niko ug and if its ok with u link,me with yo bro, naweza kuona jinsi nitakavyoweza kukutumia software ya hio mtn dashboard
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom