wakuu naombeni uzoefu wenu kuhusu simu tajwa hapo juu, nataka kuinunua, kwa anayeifahamu anipe uzoefu wake katika suala zima la chaji, network system na ubora kwa ujumla
- Uzaifu upo kwenye chaji { Bettery ni 1700 mah }, utakuwa ukichaji kila baada ya masaa 5 kama utakuwa umeiweka katika 3g
- Ni bora ukilinganisha na bei yake, ukiacha huo uzaifu katika chaji.