http://uncyclopedia.wikia.com | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

http://uncyclopedia.wikia.com

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Miss X, Dec 20, 2010.

 1. Miss X

  Miss X Member

  #1
  Dec 20, 2010
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
 2. PainKiller

  PainKiller Content Manager Staff Member

  #2
  Dec 20, 2010
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 2,739
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Provocatively funny !
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Pretty funny!
   
 4. F

  Flee Member

  #4
  Dec 21, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  funnily interesting , watu wanafikiria nini?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,303
  Likes Received: 22,105
  Trophy Points: 280
  hii kwa kikwetu huwa tunaita kudadadadadadadadadadadadeki
   
 6. F

  Ferds JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  kuna mzungu aliwahi kunieleza ki2 kama hiki nilimbishia, yeye alikuja office flani for internship tukawa nae akawa anashangaa kuona TZ ipo tofauti na alivyokuwa najua- huu upotoshaji upo jamani
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Dec 25, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Hivi sisi kama watanzania wenye serikali inayoongozwa na rais tunafanya nini?Mpuuzi kama huyu aliyeandika ujinga kama huu anashindwa kupatikana na kuadhibiwa kisheria au hata na wananchi wenye hasira?Tumetukanwa kiasi gani na tunakaa kimya?Au sisi ni mpaka pale tu Ze Utamu inapogusa maslahi ya watawala ndio tufanye kazi?Mjinga kama huyu hakutakiwa awe anapumua mpaka dakika hii kwa kuthubutu kuwatusi watu zaidi ya milioni 40.
   
 8. Afrika Furaha

  Afrika Furaha JF-Expert Member

  #8
  Dec 25, 2010
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 329
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi kaniacha hoi pale aliposema MILITARY CONSISTS OF 38548924 UNITS OF POPOBAWA AIRCRAFTS
   
 9. m

  mzeelapa JF-Expert Member

  #9
  Dec 25, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 1,034
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Huyu jamaa aliyetengeneza hii kitu anastahili adhabu ya kifo. Nashauri wenye mamlaka wamtafute kwa bidii kwani anachafua image ya taifa. Pili nashauri moderator aiondoe anayetaka kusoma asipitie huku inatia kichefuchefu!!!!!!!!!!!
   
Loading...