Ninayo simu aina ya HTC lakini ghafla imepoteza sauti na kwenye screen kuna alama ya headphones ambayo nimejaribu kuitoa nimeshindwa, sasa nimeshindwa kueelewa nimegusa wapi mpaka kuwa hivyo,na haitoi sauti yoyote ile muziki hata incoming call sisikii simu ikiita, sasa wana JF wenzangu kama kuna mtu anafahamu kuhusu hili tafadhali msaada!!!!!!!!!!!!!!