HTC Touch HD - No sound at all

Calabash

Member
Jul 20, 2011
10
0
Ninayo simu aina ya HTC lakini ghafla imepoteza sauti na kwenye screen kuna alama ya headphones ambayo nimejaribu kuitoa nimeshindwa, sasa nimeshindwa kueelewa nimegusa wapi mpaka kuwa hivyo,na haitoi sauti yoyote ile muziki hata incoming call sisikii simu ikiita, sasa wana JF wenzangu kama kuna mtu anafahamu kuhusu hili tafadhali msaada!!!!!!!!!!!!!!
 
Hapo inabidi ku google kwa sana tu mkuu utapata majibu.
Ukishindwa kabisa na kama hauja install vitu vingi kwa phone yako waweza fanya hard reset, just google how to hard reset simu yako.
Always make google your best friend majibu yako mengi utayapata huko.
 
Hi jaribu kubonyeza button ya power utaona number of options, option number 2 imeandikwa silent mode, ibonyeze nafikiri itakuwa ok.ikishindikana nenda kwenye menu, settings, sound then sound profile , changua normal.All the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom