Htc desire 826 Vs Samsung S6 edge

Htc desire 826 Vs Samsung S6 edge

Tatigha

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2017
Posts
1,952
Reaction score
2,034
Wakuu niko kwenye mchakato wa kuchukua simu mpya baada ya kuchoka vituko vya hii tecno yangu.

Na nilipenda nichukue simu moja wapo kati ya hizo mbili hapo juu, naombeni waliowahi kutumia hizo simu mnipe abc zake.

Na ipi ni bora kati ya hizo kwa upande wa kutunza charge, camera, storage na ubora kwa ujumla.
 
Chukua S6 edge hutajutia pesa yako, nimeitumia hiyo simu najua utamu wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom